Heche amjibu Mzee Butiku: “Watanzania mpuuzeni, Chadema haifadhiliwi na Marekani”

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amemjibu Mzee Joseph Sinde Butiku kuhusu madai kwamba chama hicho kinapokea fedha na misaada kutoka Marekani.

Heche amewataka Watanzania kupuuza madai hayo, akisisitiza kuwa CHADEMA haifadhiliwi na Marekani. Kauli hiyo imeibua mjadala baada ya Butiku kueleza madai yake kuhusu chanzo cha fedha na misaada kwa chama hicho

Soma Pia: Forums General Forums Jukwaa la Siasa Mzee Butiku: Upinzani usimame kwenye heshima, Tumuamini Rais

Niwaombe pia watanzania... wampuuze mzee Butiku nafikiri mzee Butiku mwalimu nyerere angekuwepo angesikitika sana kwamba yule ni mzee ambaye aliwahi kuwa hata msaidizi wake
."

"Mzee Butiku ametoa kubwa sana dhidi ya chama chetu kwamba chama chetu kinapokea fedha sijui na misaada kutoka Marekani. Huyu ni mtu ambaye amekuwa katibu wa rais anajua kabisa taratibu zozote za kitu kuingia nchini humu."

"Anashangaa kwamba tuna mbunge au kiongozi wa chama chetu anayefahamiana na balozi wa Marekani kwake yeye watu tu wanaostahili kufahamiana na mabalozi ni watu wa CCM. What a nonsense..."

​
 
Butiku ni laana ya Polepole kama anashidwa kuona chadema
Inavyochangisha watu mia mia za wananchi alafu anasema wanapewa pesa na wazungu huyu ni mzee mpumbavu sijawahi kuona
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amemjibu Mzee Joseph Sinde Butiku kuhusu madai kwamba chama hicho kinapokea fedha na misaada kutoka Marekani.

Heche amewataka Watanzania kupuuza madai hayo, akisisitiza kuwa CHADEMA haifadhiliwi na Marekani. Kauli hiyo imeibua mjadala baada ya Butiku kueleza madai yake kuhusu chanzo cha fedha na misaada kwa chama hicho

Soma Pia: Forums General Forums Jukwaa la Siasa Mzee Butiku: Upinzani usimame kwenye heshima, Tumuamini Rais

Niwaombe pia watanzania... wampuuze mzee Butiku nafikiri mzee Butiku mwalimu nyerere angekuwepo angesikitika sana kwamba yule ni mzee ambaye aliwahi kuwa hata msaidizi wake
."

"Mzee Butiku ametoa kubwa sana dhidi ya chama chetu kwamba chama chetu kinapokea fedha sijui na misaada kutoka Marekani. Huyu ni mtu ambaye amekuwa katibu wa rais anajua kabisa taratibu zozote za kitu kuingia nchini humu."

"Anashangaa kwamba tuna mbunge au kiongozi wa chama chetu anayefahamiana na balozi wa Marekani kwake yeye watu tu wanaostahili kufahamiana na mabalozi ni watu wa CCM. What a nonsense..."

Wajinga na machizi nao wanazeeka
 
Back
Top Bottom