PreGE2025 Heche amjibu RPC Tabora: Acha upotoshaji, huyo aliomba radhi kwa niaba ya mtoto wa dada yake ambaye alitushambulia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, John Heche, amemtaka RPC wa Tabora kuacha upotoshaji kuhusu tukio la kushambuliwa kwao wakati wa mkutano wao.

Pia, Soma: Polisi Tabora: Aliyemuomba msamaha Heche sio Polisi, tayari tumeshamkamata

Heche amesema hakuna sehemu yoyote kwenye mazungumzo ambapo kijana aliyewaomba radhi alijitambulisha kama askari, bali alikuja akiwa na heshima, akaomba radhi kwa niaba ya mtoto wa dada yake aliyewashambulia kwa mawe.

Screenshot 2025-06-11 212500.png

View attachment 3364887
Yaani hata mimi imenisikitisha sana tena sana. Yaani huyu RPC nimeona hata anavyoongea unaona kabisa ni uongo, na yule mtu wala hakujitambulisha kabisa. Nadhani kuna tatizo pahala
 
Heche mdogo wangu. Mimi nakujua sana. Huna hekima wala busara. Hata mkeo ana shida sana ya kuishi na wewe tangu kipindi kile mmeonana na kuoana mkiwa Bunda Teachers College na baadae mkaja SAUT wewe ukimtangulia mwaka mmoja. Mkeo anaendesha Harrier akienda kufundisha Shule ya Sekondari Nyabulogoya inayomilikiwa na Serikali.

Nasema sema tena mdogo wangu. Huna hekima, busara wala uwezo wa kupambana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wewe unachangia mada ipi? Majitu mengine taabu sana
 
Heche mdogo wangu. Mimi nakujua sana. Huna hekima wala busara. Hata mkeo ana shida sana ya kuishi na wewe tangu kipindi kile mmeonana na kuoana mkiwa Bunda Teachers College na baadae mkaja SAUT wewe ukimtangulia mwaka mmoja. Mkeo anaendesha Harrier akienda kufundisha Shule ya Sekondari Nyabulogoya inayomilikiwa na Serikali.

Nasema sema tena mdogo wangu. Huna hekima, busara wala uwezo wa kupambana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Umeandika nini sasa
 
Sasa wewe ndio mtupu zaidi, mkewe mpaka anaendesha gari lla kununuliwa na mumewe na yet unasema hana hekima, yet wako pamoja mpaka sasa? How possible hana hekima?? sasa kutokuwa kwake na hekima kuko wapi ama umekosa hoja??
NrNe
 
This is too personal, you can do better.
 
Sasa wewe ndio mtupu zaidi, mkewe mpaka anaendesha gari lla kununuliwa na mumewe na yet unasema hana hekima, yet wako pamoja mpaka sasa? How possible hana hekima?? sasa kutokuwa kwake na hekima kuko wapi ama umekosa hoja??
NrNe
Mkewe ni Mwalimu wa Serikali na alichukua mkopo wa watumishi kupitia Mfumo wa ESS akanunua gari. Swali jengine?
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, John Heche, amemtaka RPC wa Tabora kuacha upotoshaji kuhusu tukio la kushambuliwa kwao wakati wa mkutano wao.

Pia, Soma: Polisi Tabora: Aliyemuomba msamaha Heche sio Polisi, tayari tumeshamkamata

Heche amesema hakuna sehemu yoyote kwenye mazungumzo ambapo kijana aliyewaomba radhi alijitambulisha kama askari, bali alikuja akiwa na heshima, akaomba radhi kwa niaba ya mtoto wa dada yake aliyewashambulia kwa mawe.

Mzee wa Mikeka bure kabisa yani.
 
Heche mdogo wangu. Mimi nakujua sana. Huna hekima wala busara. Hata mkeo ana shida sana ya kuishi na wewe tangu kipindi kile mmeonana na kuoana mkiwa Bunda Teachers College na baadae mkaja SAUT wewe ukimtangulia mwaka mmoja. Mkeo anaendesha Harrier akienda kufundisha Shule ya Sekondari Nyabulogoya inayomilikiwa na Serikali.

Nasema tena mdogo wangu. Huna hekima, busara wala uwezo wa kupambana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa akili hizi za Mtoto wa Shule ya msingi ni ajabu sana kama unamzidi umri Heche!
 
Heche mdogo wangu. Mimi nakujua sana. Huna hekima wala busara. Hata mkeo ana shida sana ya kuishi na wewe tangu kipindi kile mmeonana na kuoana mkiwa Bunda Teachers College na baadae mkaja SAUT wewe ukimtangulia mwaka mmoja. Mkeo anaendesha Harrier akienda kufundisha Shule ya Sekondari Nyabulogoya inayomilikiwa na Serikali.

Nasema tena mdogo wangu. Huna hekima, busara wala uwezo wa kupambana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwamba umeanza kumuonea wivu mke wa Heche?
 
Daah jamaa anaenda kupigwa si ajabu kuharibiwa maisha yake kabisa kwa kumuombea radhi mpwa wake.
 
Heche mdogo wangu. Mimi nakujua sana. Huna hekima wala busara. Hata mkeo ana shida sana ya kuishi na wewe tangu kipindi kile mmeonana na kuoana mkiwa Bunda Teachers College na baadae mkaja SAUT wewe ukimtangulia mwaka mmoja. Mkeo anaendesha Harrier akienda kufundisha Shule ya Sekondari Nyabulogoya inayomilikiwa na Serikali.

Nasema tena mdogo wangu. Huna hekima, busara wala uwezo wa kupambana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Heche unamjua siyo polisi.
 
Back
Top Bottom