Heche ampinga Jerry Silaa hoja ya kuongeza bei ya mafuta

Kila nikiifikiria hii nchi yetu na DUNIA kwa ujumla napatwa na hasira kali sana na ninachanganyikiwa,
sasa nshaamua kushughulika na yangu.
Great thinkers tunasema;

Sart with a man in the mirror
and ask him to change his ways. NO MASSAGE COULD'VE BEEN ANY CLEARER
If you wanna make the world a better place just look at yourself and make a CHANGE.
 
Great thinkers tunasema;

Sart with a man in the mirror
and ask him to change his ways. NO MASSAGE COULD'VE BEEN ANY CLEARER
If you wanna make the world a better place just look at yourself and make a CHANGE.
That's why I said i am focusing on my stuff meaning i am changing myself...
 
Kwan ni mbunge gan wa CCM anaepingana na serikali kwaajil ya maslahi ya wananchi? Bunge zima wapo kwaajil ya maslahi ya gavoo!!
 
Huyu mbunge ni mpuuzi!

Hivi wananchi wa Jimbo lake la Ukonga, ndicho walichomtuma kuongea ujinga huo wa kumwongozea mzigo mwananchi?

Ama kweli CCM ndiyo janga la kitaifa
 
heche ni mtu mpumbavu sana hasira za kukosa ubunge zitamuua
 
Wanachohitaji wananchi kwa sasa sio malumbano kati ya wanasiasa awe Jerry, Heche au nani. Tunataka wezi wa CAG wakamatwe na Serikali ikishindwa tutawakamata wenyewe maana tunawajua kwa majina na anuani ya makazi yao.
itawakamataje wakati mfumo wote uko hivo?ili wakamatwe ni lazima mifumo ibadilike na ili ibadilike tuanze na katiba kwanza.utasubiri mafisadi yakamatwe lkn kwa taarifa yako hakuna kitakachoendelea.lissu kakuambia watu ni wale wale na chama ni kile kile business as usual.
 
Mkuu uko sahhi, lakinh what should i do., hata nikienda polling station sitabadili kitu..
Achana na hizo akili za kukata tamaa; real fighters never quit. Quitters have never achieved anything. Fight as though your whole life depended on it.

^If you can't fly then run, if you can't run then walk, if you can't walk then crawl, but whatever you do you have to keep moving forward.^ Martin Luther King, Jr.
 
JERRY SIRAHA TUTAKUFURAHISHA 2025

AANZA KUAGA AGA MAPEMA
FUNGASHA MIZIGO YAKO SALA USIJISUMBUE KUGOMBEA


WE WILL BE WAITING!
 
Hawa Wananchi wanaowatuma Wabunge Utopolo wanaishi wapi? Mara huyu Katumwa Fedha iwekwe Picha, Mara huyu Katumwa 100 iongezwe kwenye Mafuta. Maharage kg 4000!!, Mche WA Sabuni 3500 hao Wananchi hawaoni??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…