Muasisi wa Chadema mh Mtei ameupongeza Uongozi mpya wa Chadema Chini ya Tundu Lisu na John Heche
Mtei amesema hayo Wakati wa mazungumzo yake na makamu Mwenyekiti wa Chadema mh John Heche na Viongozi Wengine
Mzee Mtei amesisitiza hii ndio Chadema iliyo moyoni mwake na ana Imani kubwa na Tundu Antipas Lisu
Nawatakia Sabato njema😀
====
"Chama chetu kipo pamoja na nyie na uongozi wetu wote mpya naleta salamu za mwenyekiti wetu Tundu Lissu. Mzee mtei alisajiliwa kidijitali, kadi namba moja ya chama chetu anayo mzee Edwin Mtei kwahiyo tutaileta kwa heshma kabisa na hafla" - John Heche, Makamu Mwenyekiti Chadema