Pre GE2025 Heche amtembelea muasisi wa Chadema, Mzee Ewdin Mtei

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umesoma kweli hata andiko hili?
Mkuu, ninaweza nikawa sina hii habari.

Swali nililouliza ni rahisi tu. Mzee Mtei ameupongeza ungozi wa Chadema lini na chanzo cha hii taarifa ni ipi. Unaweza kunijuza?
 
Huwa kila nikimuangalia Heche ni kama anafanana kwa sura na Hayati Sheikh Amani Abeid Karume wakati wa ujana wake sijui ninyi wenzangu mnasemaje?!
 
Heche ni kiongozi na mwanasiasa mzuri sana. Lakini ulishiriki katika hayo mazungumzo maana Heche hakuyasema unayoyasema.

Amandla...
 
Chadema Chama makini na imara
 
na huyo kiongozi anavyopenda kubeti, uskute hapo hapo badala ya kumsalimia Mzee, yeye anaweza kua ana suka mkeka wa leo 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…