Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Hili ni suala la msingi sana ambalo linatakiwa kupatiwa majibu.
Wamepotea watu ambao kama taifa watu wanahuzuni kubwa sana. Humphrey Poleole, Azory Gwanda na wengine wengi wanahuzunisha taifa kwa kupotea kwao. Lakini hadi leo hii Polisi wapo kimya.
Jambo la ajabu kila siku wanataarifa za kiintelijensia kuhusu Chadema.