John Manoni
JF-Expert Member
- Sep 5, 2020
- 612
- 382
Msajili wa vyama naye ni kadaWakuu, Uchaguzi mkuu utagharimu mabilioni ya walipa kodi katika nyakati ambazo wananchi wanakosa dawa hospitalini na watoto kukalia dawati shuleni ni utajiri.
Kwahiyo maigizo ya 4R (cosmetics reforms) yanayotangazwa huko CCM hayafai na wa Tanzania wote wapaze sauti kuyakataa..
Hoja ya uchaguzi ambao wananchi wanahaki ya kuamua hatima ya kura zao kulingana na katiba ya nchi ibara ya 8, imefafanuliwa vema na CHADEMA.
Mhe.Heche kwanza nampongeza sana,pamoja na wanachadema walioko mstari wa mbele kwenye mabadiliko,bila kumsahau mhe. Lissu aliyeko kizuizini,hii No reforms No election imebeba hoja za watanzania.
Kuumiza watu na kupata uongozi kwa damu za watu waliopigwa na kutekwa na kuuawa,ni kukosa maadili,wala siyo maadili ya watanzania, lakini kwanini CHADEMA wanaotaka mabadiliko kwenye sheria mbovu wanawindwa na kuonekana wanavurugu ila wanaotaka tuendelee kuuharibu uchaguzi kwa faida ya watawala kupata ushindi wanalindwa.
Yupo mwanaccm anasema kwamba mabadiliko ni baada ya uchaguzi,kusema mabadiliko ni baada ya uchaguzi ni kutambua elimu inayotolewa na mhe. Heche au labda uroho wa madaraka umeshupaza shingo.
Fikiria mtu anaambiwa kupiga kura ni haki ya kikatiba,anapanga foleni juani na kunyeshewa mvua,kumbe msimamizi anaye mshindi mfukoni,anasaidiwa na polisi kuingiza kura bandia na kumtangaza ambaye hakushinda wa chama tawala CCM. Mpinzani bila vita hawezi kutangazwa,rej.uchaguzi wa 2010 kumtangaza Mhe.Wenje,mhe.Heche...2015 mhe.Lijualikali n.k.
Fikiria nchi yenye utajiri kila mahali, viongozi wanaoapa kwa vitabu vya Dini wanapatikana kwa wizi wa kura. Ndio maana wananchi ni masikini na elimu ni matope kwani mfumo wa kupata viongozi umetekwa na wezi na waroho wa madaraka.
Umma uanze kutafakari kwanini CCM wanalazimisha uchaguzi kwa sheria za wizi wa kura na kisingizio cha kulinda katiba wakati huo huo wameshavunja katiba kwa Mwenyekiti wao kuwateua wanachama wa CCM kuwa wajumbe kwenye Tume hivyo kuvunja katiba ibara ya 74:14 inayosema itakuwa marufuku kwa mwanachama wa chama cha siasa kuteuliwa mjumbe wa Tume ya uchaguzi,zingatia neno "marufuku".CCM ni majangili ya mali za umma
ni muhimu sana kwa vibaka na matapeli wa kisiasa wa vyama vya siasa visivyo na sifa za kikatiba kushiriki uchaguzi kuacha kuropoka mara moja 🐒Wakuu, Uchaguzi mkuu utagharimu mabilioni ya walipa kodi katika nyakati ambazo wananchi wanakosa dawa hospitalini na watoto kukalia dawati shuleni ni utajiri.
Kwahiyo maigizo ya 4R (cosmetics reforms) yanayotangazwa huko CCM hayafai na wa Tanzania wote wapaze sauti kuyakataa..
Hoja ya uchaguzi ambao wananchi wanahaki ya kuamua hatima ya kura zao kulingana na katiba ya nchi ibara ya 8, imefafanuliwa vema na CHADEMA.
Mhe.Heche kwanza nampongeza sana,pamoja na wanachadema walioko mstari wa mbele kwenye mabadiliko,bila kumsahau mhe. Lissu aliyeko kizuizini,hii No reforms No election imebeba hoja za watanzania.
Kuumiza watu na kupata uongozi kwa damu za watu waliopigwa na kutekwa na kuuawa,ni kukosa maadili,wala siyo maadili ya watanzania, lakini kwanini CHADEMA wanaotaka mabadiliko kwenye sheria mbovu wanawindwa na kuonekana wanavurugu ila wanaotaka tuendelee kuuharibu uchaguzi kwa faida ya watawala kupata ushindi wanalindwa.
Yupo mwanaccm anasema kwamba mabadiliko ni baada ya uchaguzi,kusema mabadiliko ni baada ya uchaguzi ni kutambua elimu inayotolewa na mhe. Heche au labda uroho wa madaraka umeshupaza shingo.
Fikiria mtu anaambiwa kupiga kura ni haki ya kikatiba,anapanga foleni juani na kunyeshewa mvua,kumbe msimamizi anaye mshindi mfukoni,anasaidiwa na polisi kuingiza kura bandia na kumtangaza ambaye hakushinda wa chama tawala CCM. Mpinzani bila vita hawezi kutangazwa,rej.uchaguzi wa 2010 kumtangaza Mhe.Wenje,mhe.Heche...2015 mhe.Lijualikali n.k.
Fikiria nchi yenye utajiri kila mahali, viongozi wanaoapa kwa vitabu vya Dini wanapatikana kwa wizi wa kura. Ndio maana wananchi ni masikini na elimu ni matope kwani mfumo wa kupata viongozi umetekwa na wezi na waroho wa madaraka.
FactWakuu, Uchaguzi mkuu utagharimu mabilioni ya walipa kodi katika nyakati ambazo wananchi wanakosa dawa hospitalini na watoto kukalia dawati shuleni ni utajiri.
Kwahiyo maigizo ya 4R (cosmetics reforms) yanayotangazwa huko CCM hayafai na wa Tanzania wote wapaze sauti kuyakataa..
Hoja ya uchaguzi ambao wananchi wanahaki ya kuamua hatima ya kura zao kulingana na katiba ya nchi ibara ya 8, imefafanuliwa vema na CHADEMA.
Mhe.Heche kwanza nampongeza sana,pamoja na wanachadema walioko mstari wa mbele kwenye mabadiliko,bila kumsahau mhe. Lissu aliyeko kizuizini,hii No reforms No election imebeba hoja za watanzania.
Kuumiza watu na kupata uongozi kwa damu za watu waliopigwa na kutekwa na kuuawa,ni kukosa maadili,wala siyo maadili ya watanzania, lakini kwanini CHADEMA wanaotaka mabadiliko kwenye sheria mbovu wanawindwa na kuonekana wanavurugu ila wanaotaka tuendelee kuuharibu uchaguzi kwa faida ya watawala kupata ushindi wanalindwa.
Yupo mwanaccm anasema kwamba mabadiliko ni baada ya uchaguzi,kusema mabadiliko ni baada ya uchaguzi ni kutambua elimu inayotolewa na mhe. Heche au labda uroho wa madaraka umeshupaza shingo.
Fikiria mtu anaambiwa kupiga kura ni haki ya kikatiba,anapanga foleni juani na kunyeshewa mvua,kumbe msimamizi anaye mshindi mfukoni,anasaidiwa na polisi kuingiza kura bandia na kumtangaza ambaye hakushinda wa chama tawala CCM. Mpinzani bila vita hawezi kutangazwa,rej.uchaguzi wa 2010 kumtangaza Mhe.Wenje,mhe.Heche...2015 mhe.Lijualikali n.k.
Fikiria nchi yenye utajiri kila mahali, viongozi wanaoapa kwa vitabu vya Dini wanapatikana kwa wizi wa kura. Ndio maana wananchi ni masikini na elimu ni matope kwani mfumo wa kupata viongozi umetekwa na wezi na waroho wa madaraka.
Wanakaribishwa kwa mzee wa UBWABWA gentleman kutimiza ndoto.Vibaka na matapeli yamekunja kibunda cha chura kiziwi sasa No reforms No election yalitaka kutishia nyau tu gentleman.ni muhimu sana kwa vibaka na matapeli wa kisiasa wa vyama vya siasa visivyo na sifa za kikatiba kushiriki uchaguzi kuacha kuropoka mara moja 🐒
Wataibaje kura?Umma uanze kutafakari kwanini CCM wanalazimisha uchaguzi kwa sheria za wizi wa kura na kisingizio cha kulinda katiba wakati huo huo wameshavunja katiba kwa Mwenyekiti wao kuwateua wanachama wa CCM kuwa wajumbe kwenye Tume hivyo kuvunja katiba ibara ya 74:14 inayosema itakuwa marufuku kwa mwanachama wa chama cha siasa kuteuliwa mjumbe wa Tume ya uchaguzi,zingatia neno "marufuku".
Mfano hai ni yule mwenezi wa CCM ambaye ni mjumbe wa Tume.
Fikiria kama Lema: wewe ni Samia simama hapa, halafu unamteua kamishina wa Tume huyu,unamteua mkuu wa mkoa huyu, unamteua mkurugenzi wa Wilaya au ofisa mwandamizi amewekwa huyu hapa,na huyu hapa msimamizi wa uchaguzi na mtumishi wa halmashauri ....hapa Samia aliyewateua naye anagombea na yule pale je,mtatangaza mshindi yupi?Wataibaje kura?
Ni uhuni tupuFikiria kama Lema: wewe ni Samia simama hapa, halafu unamteua kamishina wa Tume huyu,unamteua mkuu wa mkoa huyu, unamteua mkurugenzi wa Wilaya au ofisa mwandamizi amewekwa huyu hapa,na huyu hapa msimamizi wa uchaguzi na mtumishi wa halmashauri ....hapa Samia aliyewateua naye anagombea na yule pale je,mtatangaza mshindi yupi?