Na mie nasisitiza Tanesco ipigwe nyundo isambae, tumechoka"Tatizo la umeme la nchi hii ni kufeli kwa uongozi wa nchi, kuna mambo mengi tumewahi kushauri, TANESCO inafanya mambo makubwa matatu ,uzalishaji, usafirishaji na usambazaji huwezi kuwa na kampuni inafanya kazi zote hizo peke yake".
"Asilimia karibia 40 ya umeme wetu unapotea ukiwa unasafirishwa, sisi (CHADEMA) tulipendekeza yawe makampuni matatu na pili TANESCO isiwe ndiyo pekee inazalisha umeme nchi hii ili ukiona hawakufai unahamia kampuni nyingine"- John Heche
View attachment 2915911
"Tatizo la umeme la nchi hii ni kufeli kwa uongozi wa nchi, kuna mambo mengi tumewahi kushauri, TANESCO inafanya mambo makubwa matatu ,uzalishaji, usafirishaji na usambazaji huwezi kuwa na kampuni inafanya kazi zote hizo peke yake".
"Asilimia karibia 40 ya umeme wetu unapotea ukiwa unasafirishwa, sisi (CHADEMA) tulipendekeza yawe makampuni matatu na pili TANESCO isiwe ndiyo pekee inazalisha umeme nchi hii ili ukiona hawakufai unahamia kampuni nyingine"- John Heche
View attachment 2915911Mmmh !
Sasa kama uongozi wa nchi umeshindwa kwanini tanesco ivunjwe? Fukuza aliyeshindwa."Tatizo la umeme la nchi hii ni kufeli kwa uongozi wa nchi, kuna mambo mengi tumewahi kushauri, TANESCO inafanya mambo makubwa matatu ,uzalishaji, usafirishaji na usambazaji huwezi kuwa na kampuni inafanya kazi zote hizo peke yake".
"Asilimia karibia 40 ya umeme wetu unapotea ukiwa unasafirishwa, sisi (CHADEMA) tulipendekeza yawe makampuni matatu na pili TANESCO isiwe ndiyo pekee inazalisha umeme nchi hii ili ukiona hawakufai unahamia kampuni nyingine"- John Heche
View attachment 2915911
Kabisa. Inashangaza umeme ni huu huu lakini wengine Tarif 0 wengine tarif 1 ilhali wote wanatumia kwa ajili ya nyumbani na sio viwandani.Na mie nasisitiza Tanesco ipigwe nyundo isambae, tumechoka
Hata Likivunjwa bila Ccm kuondoka hakuna mabadiliko."Tatizo la umeme la nchi hii ni kufeli kwa uongozi wa nchi, kuna mambo mengi tumewahi kushauri, TANESCO inafanya mambo makubwa matatu ,uzalishaji, usafirishaji na usambazaji huwezi kuwa na kampuni inafanya kazi zote hizo peke yake".