Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Dogo amehama chadema sasa hivi anaongea kama anaimba taarabuSalum Mwalimu Nadhani Akwilina aliuawa wakati wa Kampeni za Ubunge Uchaguzi mdogo Kinondoni
Kwa hiyo ukiwa na mishe zako tofauti na siasa ni halali kuuawa kwa risasi?Heche Bwana,
Aquilina alikufa akipigania nini?
Mtoto wa watu alikuwa na mishe zake tofauti, haya mambo haya.mm
Amesahau huu mchezo wa kususa ndio ulifanya taifa tukakosa katiba mpya?
Wataondoka wote subir bunge livunjwe
Wote kina nani? Huko bungeni si kabakia Aida peke yake. Hao covid 19 walishafukuzwa zamani sana.Heche Bwana,
Aquilina alikufa akipigania nini?
Mtoto wa watu alikuwa na mishe zake tofauti, haya mambo haya.mm
Amesahau huu mchezo wa kususa ndio ulifanya taifa tukakosa katiba mpya?
Wataondoka wote subir bunge livunjwe
Akwilina hakuwa anapigania lolote. Hakuwa katika shughuli za kisiasa alipouawa. Huo ufadhili wa Chaumma mbona haueleweki? Maana mara tunaambiwa ni Mbowe mara ni CCM.John Heche ameonesha kuchukizwa na waliokihama chama hiko wakati kama huu, ilhali watu wengi wamekufa na kuteseka ili kuwapambania wawe wabunge.
"Wengine tulipigwa risasi, tukafungwa jela kwa sababu ya kuwapambania wao wawe wabunge. Leo wameingia kwenye kitanda na wamejifunika shuka moja na mtu aliyedhulumu uhai wa Akwilina, mtu aliua watu waliompigania yeye awe mbunge'' - John Heche
View attachment 3345112
Uchaguzi 2020 ulibakwa 100% wagombea walipoteza Mali/pesa,muda na wanachama wa kawaida pia walipoteza pesa,muda na maisha Yao kuwa hatarini kwa vipigo na kulala lock up.Akwilina hakuwa anapigania lolote. Hakuwa katika shughuli za kisiasa alipouawa. Huo ufadhili wa Chaumma mbona haueleweki? Maana mara tunaambiwa ni Mbowe mara ni CCM.
Heche hachapigania chama chake zaidi ya Ruge na Kiwanga ambao pengine wamepigwa na kulala lock up kuliko hata yeye.
Tofauti yao na yeye ni kuwa hawakutaka kuburuzwa. Wameuliza maswali ambayo mpaka leo hajayajibu. Maswali kama: watazuiaje uchaguzi, wataendesha vipi chama bila ruzuku, watawaambia nini wanachama wao ambao mpaka hivi karibuni waliaminishwa kuwa watagomea kupitia kikao chao cha watia nia!
Walaghai ni wao, sio wakina G-55.
Amandla...
Kwa hiyo utazuia watu kuumizwa na kulala lock up kwa kuhakikisha hawapigi kura? Na kuwa mtashinda uchaguzi kwa kugoma kushiriki kwenye uchaguzi?Uchaguzi 2020 ulibakwa 100% wagombea walipoteza Mali/pesa,muda na wanachama wa kawaida pia walipoteza pesa,muda na maisha Yao kuwa hatarini kwa vipigo na kulala lock up.
Unataka mwaka huu 2025 watu waingie kwenye uchaguzi wenye ubakaji na maumivu kwa watu??
No reforms no election