Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kupitia kwenye ukurasa wake wa X Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche ameeleza kwa namna bajetu ya CNN katika sekta ya utafiti, investigative journalism, digital investigation.
Hii inatoa taswira kuwa hata walichokifanya awajabahatisha hata kidogo ni uwekezaji umefanyika
==============
Bajeti ya CNN ya utafiti, investigative journalism, digital investigation na kuhakiki ukweli wa mambo kwa mwaka ni usd 3.9 bilioni sawa na trilioni 10 za Tanzania…
Hii ni Bajeti karibia ya wizara 14 hapa kwetu.Hizo pesa mkipewa mnaiba mpaka mchanganyikiwe alafu wewe Grishon unasema utawajibu!!!!Unajibu nini sasa? Kwamba hamjaua watu?