Pre GE2025 Heche: CCM wanaishi kwa kuviziana hawawezi kufanya uchaguzi kama wa Chadema

Pre GE2025 Heche: CCM wanaishi kwa kuviziana hawawezi kufanya uchaguzi kama wa Chadema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
"Sisi tumekwenda kwenye uchaguzi tumewaonesha maana ya uchaguzi wa kidemokrasia, free, fair, transparent election ambayo haijawahi kutokea Afrika hawawezi hata na dola yao kuthubutu kufanya vile. We uliona wapi mtu anasimamia uchaguzi anaochaguli1wa ?" - John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema
View attachment 3245106
Soma:
yaani huyu jamaa bila kujiingiza kwenye masuala ya kubeti hangekua amefilisika pension yake ya ubunge yote,

anajisifu kuhujumiana na kutwezana utu ndani ya Chadema kweli?🐒
 
Hivi Urais wa January Makamba ndiyo basi ten? Nni hatma ya mzee wa Bungeni aka mzee wa Nazaleti? Mzee wa nimekosaa saana nisamehemi bure mieee..

Ila CCM mna balaa nyie, yaani unamkula mtu bichwa afu unamwambia akae kimyaa kama ananyolewa vile.
 
Najiulizaga pesa ziliishia wapi kumbe alibeti nazo
muhindi ni mtu mbaya sana,

jamaa kufilisika vibaya zaidi ya wastaafu wengine yaani dah!

hadi karudi kuishi nyumbani kwa wazazi na alikua mbunge. Kubeti sio kitu kizuri kabisa 🐒
 
"Sisi tumekwenda kwenye uchaguzi tumewaonesha maana ya uchaguzi wa kidemokrasia, free, fair, transparent election ambayo haijawahi kutokea Afrika hawawezi hata na dola yao kuthubutu kufanya vile. We uliona wapi mtu anasimamia uchaguzi anaochaguli1wa ?" - John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema
View attachment 3245106
Soma:
Hahaha
 
New Admin CHADEMA ni hatari 🔥 huko Kizimkazi wanalala kwa vidonge.
 
Back
Top Bottom