the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
yaani huyu jamaa bila kujiingiza kwenye masuala ya kubeti hangekua amefilisika pension yake ya ubunge yote,"Sisi tumekwenda kwenye uchaguzi tumewaonesha maana ya uchaguzi wa kidemokrasia, free, fair, transparent election ambayo haijawahi kutokea Afrika hawawezi hata na dola yao kuthubutu kufanya vile. We uliona wapi mtu anasimamia uchaguzi anaochaguli1wa ?" - John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema
View attachment 3245106
Soma:
Najiulizaga pesa ziliishia wapi kumbe alibeti nazoyaani huyu jamaa bila kujiingiza kwenye masuala ya kubeti hangekua amefilisika pension yake ya ubunge yote,
anajisifu kuhujumiana na kutwezana utu ndani ya Chadema kweli?π
muhindi ni mtu mbaya sana,Najiulizaga pesa ziliishia wapi kumbe alibeti nazo
Huwa unanjiuliza pia baadhi ya viongozi wenye mali na pesa nyigi kupita kiasi walizipatJe?!Najiulizaga pesa ziliishia wapi kumbe alibeti nazo
Hahaha"Sisi tumekwenda kwenye uchaguzi tumewaonesha maana ya uchaguzi wa kidemokrasia, free, fair, transparent election ambayo haijawahi kutokea Afrika hawawezi hata na dola yao kuthubutu kufanya vile. We uliona wapi mtu anasimamia uchaguzi anaochaguli1wa ?" - John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema
View attachment 3245106
Soma: