100%Makamu Mwenyekiti Bara CHADEMA, John Heche, amesema kuwa chama hicho ndicho cha siasa kikuu nchini Tanzania na hakipaswi kulinganishwa na CCM, kwa kuwa njia pekee zinazotumika kudhibiti chama hicho ni kupitia Jeshi na Polisi, badala ya hoja za kisiasa.
Ameyasema hayo leo, Januari 22, 2026, akizungumza na waandishi wa habari.
Vipofu hawaoni!!Hakika ushindi umekaribia, upo kwenye 'upeo wa macho'
Wapuuzi ni ccm wauwaji wa WatanzaniaHivi Kuna mwenye timamu anaweza muamini huyu mpuuzi kweli..?
Mkuu, ccm wenyewe tunaamini hivyo tangu kitambo sana.Hivi Kuna mwenye timamu anaweza muamini huyu mpuuzi kweli..?
Hivi Kuna mwenye timamu anaweza muamini huyu mpuuzi kweli..?
Hivi Kuna mwenye timamu anaweza muamini huyu mpuuzi kweli..?
Ni suala la muda tu ila ipo siku CHADEMA watachukua uongozi wa nchi.
Usiwasanue! Waache waendelee kulalaVipofu hawaoni!!
Heche has stated the obvious. Hata kama asingesema, hilo tayari tunalijua. Samia The Butcher na ninyi chawa wake endeleeni kuwa kwenye denial.Hivi Kuna mwenye timamu anaweza muamini huyu mpuuzi kweli..?