Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Ameyasema hayo leo Julai 7, na chaneli ya ST Bongo TV jijini Dar es Salaam, akisisitiza kuwa msimamo wa chama hicho ni kupatikana kwa mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Asubiri. 2030View attachment 3397698
View attachment 3397699
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kipo tayari kushiriki uchaguzi kama kutakuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi wanayoyadai kupitia kauli ya 'No reforms No Election.'
Ameyasema hayo leo Julai 7, na chaneli ya ST Bongo TV jijini Dar es Salaam, akisisitiza kuwa msimamo wa chama hicho ni kupatikana kwa mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Akili za makalioni hizo, Uchaguzi tutashiriki na OKTOBA TUNATIKIView attachment 3397698
View attachment 3397699
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kipo tayari kushiriki uchaguzi kama kutakuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi wanayoyadai kupitia kauli ya 'No reforms No Election.'
Ameyasema hayo leo Julai 7, na chaneli ya ST Bongo TV jijini Dar es Salaam, akisisitiza kuwa msimamo wa chama hicho ni kupatikana kwa mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
"NO REFORM, NO ELECTION", ni ya uhakika; kwa hiyo CHADEMA ni muhimu sana wawe tayari kushiriki uchaguzi.View attachment 3397698
View attachment 3397699
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kipo tayari kushiriki uchaguzi kama kutakuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi wanayoyadai kupitia kauli ya 'No reforms No Election.'
Ameyasema hayo leo Julai 7, na chaneli ya ST Bongo TV jijini Dar es Salaam, akisisitiza kuwa msimamo wa chama hicho ni kupatikana kwa mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Samia ni lazima arudi Kizimkazi; vinginevyo jela inamsubiri akilazimisha.kubaki madarakani. Mfikishie salamu hizo.Asubiri. 2030
Hili haliepukiki. Siyo swala la Samia na GENGE lake tena kuamua juu ya hilo; hili ni suala la waTanzania sasa kuamua, na wataamua hivyo.Naona hapa kuna minimam reform zinaenda kufanyika.
Utatiki makalioni kwako!Hata sisi Wana CCM hatujozoea uchaguzi bilq Kash Kash.Reform zifanyike Lisu na Mama mpira uwekwe kati tukate mzizi wa fitina.Tanzania ni Baba na Kaka wa Demokrasia Africa na Mama hatowasikiliza machawa wanaotaka achafuke wakacheke nyuma ya ukuta.Akili za makalioni hizo, Uchaguzi tutashiriki na OKTOBA TUNATIKI
Utatiki makalioni kwako!Hata sisi Wana CCM hatujozoea uchaguzi bilq Kash Kash.Reform zifanyike Lisu na Mama mpira uwekwe kati tukate mzizi wa fitina.Tanzania ni Baba na Kaka wa Demokrasia Africa na Mama hatowasikiliza machawa wanaotaka achafuke wakacheke nyuma ya ukuta.