Heche: Ezekiah Wenje ama ni mjinga au hajui anachokisema

Heche: Ezekiah Wenje ama ni mjinga au hajui anachokisema

Newforce

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2024
Posts
430
Reaction score
708
IMG-20250116-WA0084.jpg


Hiki ndicho alichokiandika John Heche muda mfupi baada ya Press Release ya Ezekiah Wenje
 
Mwenyekiti alikuwa mchoyo, kila dili anakula parefu yeye tu.
 
kiongozi muandamizi wa chadema alieshindwa uchaguzi amepanic sio baada ya ukweli kuwekwa wazi wenje? :pedroP:

leo sijui kama atabeti:pedroP:
Huna hoja chawa wa ccm wewe.
Cha ajabu chawa wa kijani ndio wapiga debe wa Wenje na Sultani Mbowe
 
Huna hoja chawa wa ccm wewe.
Cha ajabu chawa wa kijani ndio wapiga debe wa Wenje na Sultani Mbowe
hoja imetolewa na wenje kwamba ati viongozi waandamizi wa chadema wanao muunga mkono kibaraka ni wale walioshindwa uchaguzi kwenye maeneo yao ni kweli au sio kweli? :pedroP:
 
Back
Top Bottom