Heche: Ezekiah Wenje ama ni mjinga au hajui anachokisema

Mwenyekiti alikuwa mchoyo, kila dili anakula parefu yeye tu.
 
kiongozi muandamizi wa chadema alieshindwa uchaguzi amepanic sio baada ya ukweli kuwekwa wazi wenje?

leo sijui kama atabeti
Huna hoja chawa wa ccm wewe.
Cha ajabu chawa wa kijani ndio wapiga debe wa Wenje na Sultani Mbowe
 
Huna hoja chawa wa ccm wewe.
Cha ajabu chawa wa kijani ndio wapiga debe wa Wenje na Sultani Mbowe
hoja imetolewa na wenje kwamba ati viongozi waandamizi wa chadema wanao muunga mkono kibaraka ni wale walioshindwa uchaguzi kwenye maeneo yao ni kweli au sio kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…