GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,541
- 6,020
Shida yenu ni chuki na tamaa ya madaraka asi hakuna kingine,mnatoa maagizo Kwa nani?
Kila mtu Sasa hivi ana mamlaka ya kuongea chochote ila tambueni hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho.
Nchi ni watu wote na sio ya kakindi flani kanakoleta fujo Kwa ajili ya maslahi binafsi.
Vurugu zina Chanzo muongee kwanza Chanzo chake Nini?
Kama umeamua kususa jambo Kwa Nini ulivuruge?
Na uvuruge maisha ya watu wote?
Mbona wengine hatuna habari na mambo ya kupiga kura miaka na hatugombani na wapiga kura tunaona wenyewe Wana uhuru na ni haki Yao ila nyie mlisusa na hamkutekeleza ususaji wenu zaidi ya kupandikiza chuki Kwa vijana wafanye vurugu.