GE2025 Heche: Kesi ya uhaini ya Lissu ni ya uongo, haipaswi kuwa Mahakamani, amfananisha Lissu na Messi

GE2025 Heche: Kesi ya uhaini ya Lissu ni ya uongo, haipaswi kuwa Mahakamani, amfananisha Lissu na Messi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akiznungumza nje ya Ukumbi wa Mahakama Kuu baada ya kusikilizwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Tundu Lissu amesema; "Hii Kesi haisitahili kuwepo Mahakamani kwa sababu ni Kesi ya Uongo".

 
Hilo liko wazi. Siku zote kwenye ukweli uongo hujitenga.
 
Sijajua wanaotoa ushauri kwa mamlaka kuhusu mwenendo wa hii kesi kama wanafikiri sawa sawa. Nina mashaka na washauri ni either wana upeo mdogo wa kufikiri ama wanampotosha Rais kwa makusudi ama wanachumia matumbo yao.

Anyway Aluta....
 
Back
Top Bottom