Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akiznungumza nje ya Ukumbi wa Mahakama Kuu baada ya kusikilizwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Tundu Lissu amesema; "Hii Kesi haisitahili kuwepo Mahakamani kwa sababu ni Kesi ya Uongo".
Sijajua wanaotoa ushauri kwa mamlaka kuhusu mwenendo wa hii kesi kama wanafikiri sawa sawa. Nina mashaka na washauri ni either wana upeo mdogo wa kufikiri ama wanampotosha Rais kwa makusudi ama wanachumia matumbo yao.