Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasiia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza leo Novemba 12, 2025 baada ya kuisha kusikilizwa kwa kesi ya Uhaini ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu, amesema kuwa Kuhusu jambo la watanzania kuuawa Oktoba 29 haitafichwa bali litazungumziwa
Pia ametoa wito kwa mataifa mbalimbali ya Afrika ambayo Tanzania ilisadia kupata uhuru kutoa tamko kwa matukio ya ukiukwaji haki yanayoendelea nchini Tanzania
"Kuhusu watu wetu waliouawa hata nani ajidanganye halitafichwa chini ya uvungu, halitakubalika, hata mawe yatazungumza. Historia yetu tumekuwa tulipinga dhuluma dhidi ya binadamu"- Amesema John Heche
Soma pia PostGE2025 - Heche: CHADEMA imetoa mawakili nchi nzima kwa watu wote wenye kesi za uhaini, hakuna kurudi nyuma hadi ukombozi upatikane