Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akizungumza kwenye mkutano wa hadhara huko Kilwa amesema kuna mambo ambayo yanaendelea kwenye nchii hii ya Tanzania ukiyajuwa unaweza kupata ugonjwa wa moyo.
Watu wa Kilwa wakati mwingine bora usiyajue mambo ya nchi hii kwa sababu ukijua unaweza kupata ugonjwa wa moyo kwa sababu unajiuliza hawa ni wanyama au ni binadamu wanatuongoza kwamba nyie wote Kilwa, Lindi wote, Tanzania nzima nyie wote mnazaa ndondocha hakuna mtu anayeweza kusimama pale akasema kama ni krediti yetu ni kiasi kadhaa tulipe kwenye akaunti hii ahah Omani tukusanyieni. Hiyo ni serikali hiyo. Alafu wakija hapa wanakuambia CCM juu juu zaidi huko juu wanatafuta nini huko? Hapa chini ndio kuna matatizo ya wananchi hapa