Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
John Heche akiongea na Waandishi wa habari leo Januari 05, 2024 amesema Tundu Lissu anayewania nafasi ya Uenyekiti ndani ya CHADEMA hajakivua nguo chama hicho bali anawataja wala rushwa walio ndani ya chama hicho
Heche amesema “Lissu hajatumiwa kukishambulia chama, anashambulia mafisadi wanaoingiza nguvu za kifisadi kwenye chama ili wake pembeni wakutane Waadilifu na wa kweli. Hajatumika hata mara moja kushambulia chama”
Aidha, amesema mtu unamtambua kwa kauli zake kwani zinamtambulisha ni nani na yupo upande gani. Unaanzaje kusema Lissu anatumiwa?
Ameongeza kuwa “Lissu anavua nguo watu wachache ndani ya chama. Lissu havui chama chetu nguo, anakipenda snaa ndio maana anatembea na risasi kwa sababu ya CHADEMA”
“Mtu anayesema anaipenda CHADEMA kuliko sisi aoneshe amelipa ghafama ngapi kwenye CHADEMA. Sio kukaa twita tu na kutukana watu. Haujajaribiwa! Hata kuhongwa na ukatae fedha kwa ajili ya chama hiki”
Amemalizia “Kuna vijana hapa wanatukana watu, tunawajua! Umewahi kufikiria kujaribiwa kupewa fedha halafu ufikirie matatioz uliyonayo nyumbani halafu uyaweke pembeni, useme mimi kwa sababu ya Wanachama na nchi yetu sitachukua hizi fedha pamoja na kwamba nazihitaji. Huyo mtu unampimaje? Huyu mtu unamwonaje?”
“Havui Chama nguo anavua wala rushwa nguo na tutawashika. Lissu amesema kuna watu wachache ndani ya chama wamehongwa, anasema tupeni madaraka tushughulike nao wakae kwenye mstari.”
My take.
Lissu ameweza kuwapata watu wenye ushawishi mkubwa sana ndani ya CHADEMA, Heche na si muda tutamsikia Lema. Ngoja tuone Januari 21 mambo yatakuaje ila