Kwa jinsi hivi mambo zinavyoenda.CHADEMA hawawezi kuendesha nchi - patachimbika.Huyu Heche anasema Lissu anataja mafisadi - wakati Lissu anaongea kwa umoja hawi specific - hao waliotajwa na Lissu ni akina nani? Na je hatua gani zinachukuliwa..yeye kama Heche mbona hasemi hatua inayopaswa kufanywa - yaani kama ngojera tu na hisia tu..How much zimepotezwa kwa mambo ya rushwa???Heche alikua anajitahidinkuwa mjanja na Neutral but lengo lake kubwa lilikuwa kutangaza kuwa ana - muunga mkono Lissu - allegations nyingine na yeye anaingia kwenye mkumbo huo huo.
Bora yule kijana wa umoja wa vijana wa Dodoma..so far ndo mtu kaongea vizuri..but hawa wengine wote wanazidi kuleta utenganifu kwenye chama chao.
Yeye katangaza nia ya umakamu mwenyekiti then anasema anaenda na Lissu what if Mbowe anashinda na yeye anashinda - atakataa kufanya nae kazi...Baadhi ya watu CDM wako very personal.