Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Senti wanazopewa zinawazuzua kwa muda huu.Majuto na kutoa simulizi za ushuhuda ni baadaye.Aione mwaipopo. Wakimalizana nae ni kumla kichwa tu
Naam, kuna mtu alijua ambayo yangempata Cyprian Musiba Majura?Aione mwaipopo. Wakimalizana nae ni kumla kichwa tu
Wapo ambao akili zinaaza kuwarudi japo kwa kuchelewa ama kwa kuambia wanazingua!Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa mkoa wa Mwanza amezungumzia masuala mbalimbali ikiwemo suala la utekaji nchini, ambapo ameshutumu kuwa anafuatiliwa na watu wanaotumia magari yenye namba za usajili fake.
View attachment 3639283
Leo asubuhi kuna gari imekuja nyumbani kwangu namba T 318 EQJ, Toyota Land Cruiser Hardtop y. Zile namba sio za hiyo gari, na wamekuja pale wanaulizia kwa Heche ni wapi? Hizo namba zimesajiliwa kwa katapila haya yanayolima barabara. Sasa kama ni watu wema mnakuja mchana mnafahamika, kama mna shida ya kunikamata, niiteni. Lakini shida ya kutishiana tishiana, kutekana, kufanyiana mambo ya kijingajinga, hayo mimi nimsifanye, na watanzania msikubali. Mimi sitakimbia, wakini chukua katika mazingira ambayo hayaeleweki, msikubali, msikubali.
Hatuwezi kuishi kwa kunyimana amani. Ukitunyima amani, tutakunyinma amani. Nimemfurahia sana yule mdogo wangu aliyesema, 'The welfare of the people is the supreme law'. Ustawi wa watu ndio sheria kuu ya nchi. Kama watu hawana ustawi, hakuna sheria kwenye nchi hiyo. Watu wanatekwa, watu wanawindwa, watu wamekuwa kama wanyama. Wamechukuliwa akina Polepole, viongozi wa CCM kama kuku. Mtu ambaye juzi alikuwa na Magufuli, amepotezwa.
Na nyie vijana mnaotumwa kuteka watu, nataka niwaambie, mwisho wa siku, watawaueni nyie kupoteza ushahidi. Nawaambia haki ya Mungu kabisa. Siku hizi nimekuwa nazungumza kuhusu the Nuremberg trial, kesi ya Nuremberg ya mwaka 1946 baada ya Ujerumani kushindwa vita 1945 mpaka 46. Henchmen, henchmen ni wale watu waliokuwa axis of evils, wale waliotumiwa na Adolf Hitler, mwisho wa siku, walijiua wenyewe, na wengine walihukumiwa kuuawa, na wengine walifungwa maisha.
Wanakupa hela kuteka watu, unafikiri utamteka mtu kama Polepole aliyekuwa amefikia level ile alafu hayo mambo yakaisha tu? Ni rahisi tu, zama hizi za teknolojia, watu watakuja wa-trace hizo simu zilizoenda hapo, tutaangalia kwenye satellite, tutauliza, tutamuliza tu RPC ebu tuambie nani alienda pale, oh si nini. Jukumu lako ni la ulinzi tuambie nani alikuwa pale. RPC atatuambia aliyeenda ni huyu, huyu tulienda na huyu, huyu tulie... Tutawakamata wote."
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa mkoa wa Mwanza amezungumzia masuala mbalimbali ikiwemo suala la utekaji nchini, ambapo ameshutumu kuwa anafuatiliwa na watu wanaotumia magari yenye namba za usajili fake.

Ina maana bado unaishi enzi za Mrema. Huna mategemeo mengine yoyote maishani mwako, bali kubaki kwenye enzi za Mrema?Haha tokaa enzi za Mrema walisema hayo.
hahaa oky bwana kipenyo Heche
Namba ya trekta pia NI siasa?Hii usikute ni Siasa tu
uzuri heche Tunamjua.Ina maana bado unaishi enzi za Mrema. Huna mategemeo mengine yoyote maishani mwako, bali kubaki kwenye enzi za Mrema?
Huko kumjuwa kwako hakutusaidii chochote sisi. Sisi tunachoona na kusikia ni hiki anachoendeleza sasa hivi.uzuri heche Tunamjua.
siku ipo mtaelewa
Kweli kabisa waulize kule Kenya wale wahusika wa enzi ya Uhuru na Ruto walianza kupotea mmoja mmoja ili kudhoofisha ushahidi.