Heche: Mnaotumwa kuteka watu, mwisho wa siku watawaueni nyie kupoteza ushahidi

uzuri heche Tunamjua.

siku ipo mtaelewa
Naona leo Heche ameachia CCTV footage ya kikosi chenu cha tekateka mkiwa na gari yenye namba feki T318 EQJ ambayo kiuhalisia haina usajili wa chombo kilichoenda kwake.

Mbona mna mbinu za kijima sana nyie policcm .

Kale kampango kenu kwenye uzi wako wa juzi ndio mnaanza utekelezaji?
 

Ni kweli kabisa wanaoshiriki haya matendo huwa na wao wanauwawaga baada ya miaka 2 ili kuficha ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…