GE2025 Heche, Mnyika, Rupia, Mwaipaya, Hilda na Wanachama wengine wa CHADEMA waitwa Mahakamani Oktoba 15, 2025

GE2025 Heche, Mnyika, Rupia, Mwaipaya, Hilda na Wanachama wengine wa CHADEMA waitwa Mahakamani Oktoba 15, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Bado hali si rafiki kwa CHADEMA kila siku wao na mahakama, kesi zimezidi kulindima kila kukicha kwao>

Au tuseme serikali ya CCM imeendelea kuwazofisha tu, na ukizingatia Kuna mipango ya maandamano ya Oktoba 29
===============
FAHAMU kwamba shauri lililotajwa hapo juu limepangwa kuitwa kwa ajili ya kutajwa tarehe 15 Oktoba, mwaka 2025, saa 3:00 asubuhi mbele ya Mheshimiwa Jaji A. Mbagwa.

UNATAKIWA
kufika mahakamani siku hiyo bila kukosa, na uwakilishe nyaraka zote ambazo unakusudia kuzitumia kama ushahidi wa kuunga mkono upande wako wa shauri.
View attachment 3488226
Nasema tena hizi mbinu zimepitwa na wakati, kama ndo hii basi naweza ungana na afande mmoja toka jwtz kwa wachukue nchi. Huu ukandamijazo juu ya vyama vingine sijui kama vipo na afya kwa nchi
 
Wameamua kutumia silaha zote kudhoofisha upinzani(maana upinzani uliopo sasa ni kwa CDM), inasikitisha sana hawa wazanzibari wametushika masaburi namna hii and we just abide, dah!!
 
Back
Top Bottom