Heche, Mpina na wengine wanatumika kuichafua Serikali ionekane haifanyi kazi?

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
- Mfanyabiashara aliyetoroka nchi, anayesifika kutapeli mabenki atajwa kuwa nyuma ya Heche, Mpina na wengine

- Ni mmiliki wa kampuni ya Mafuta Steti Oil inayotuhumiwa kujihusisha na mambo mengi machafu

- Yaelezwa amejiegemesha CHADEMA kuichafua serikali baada ya kukosa zabuni ya kuingiza mafuta ya dili wakati wa dharura

- Wafanyabiashara wengine waliokataa kuleta mafuta wakati wa hali mbaya ya vita watajwa kuchochea moto wakihofia TPDC kuendelea kuhudumia watanzania

- Yabainika Tanzania ndio nchi iliyouza mafuta kwa bei ya chini zaidi kulinganisha na nchi nyingine jirani kutokana na uamuzi wa kuwatumia TPDC

- Msemo wa ushirika wa wachawi haudumu wamgeukia Heche, wenzake wamtolea uvivu 'kula peke yake'

- Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA chageuka mahakama ya dharura dhidi yake, aokolewa na kifo cha dereva wake.

Na Mwandishi Wetu

Siri zaidi zimevuja baada ya baadhi ya wafanyabiashara wa mafuta wanaonufaika kwa kupanga bei kubwa hasa vipindi vya dharura ''cartel' kuamamua kuwatumia wanasiasa kwa kuwahonga ili kuitia 'presha' serikali baada ya kukosa nafasi ya kuuza mafuta kwa bei ghali katika kipindi cha dharura ya mapambano ya vita baina ya Marekani na Israel dhidi ya Iran vilivyopelekea kufungwa kwa Mlango wa Bahari wa Hormuz kitendo kilichosababisha kuadimika kwa mafuta Duniani

Taarifa ambazo gazeti hili linazo zinasema wanasiasa John Heche wa Chadema na Luhaga Mpina wa ACT, kwa nyakati tofauti wamefikiwa na mkono wa wafanyabiashara hao wanaoongozwa na mmiliki wa vituo vya mafuta vya stet oil ambaye pia anasifika kwa kukopa katika mabenki mbalimbalu nchini na kukimbia madeni Nileshi Sukach

Kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kukatisha ziara ya chama hicho kilipokuwa kikielekea mikoa ya kaskazini na kukimbilia Afrika ya Kusini alipokutana na mfanyabiashara huyo, kinatajwa kuwa ni moia ya utekelezaji wa mbinu za wafanyabiashara hao kuwatumia wanasiasa kutengeneza taharuki ikiwemo kuunda tuhuma za ufisadi.
HM1tyMPWoAEo7jA.jpg
 
- Mfanyabiashara aliyetoroka nchi, anayesifika kutapeli mabenki atajwa kuwa nyuma ya Heche, Mpina na wengine

- Ni mmiliki wa kampuni ya Mafuta Steti Oil inayotuhumiwa kujihusisha na mambo mengi machafu

- Yaelezwa amejiegemesha CHADEMA kuichafua serikali baada ya kukosa zabuni ya kuingiza mafuta ya dili wakati wa dharura

- Wafanyabiashara wengine waliokataa kuleta mafuta wakati wa hali mbaya ya vita watajwa kuchochea moto wakihofia TPDC kuendelea kuhudumia watanzania

- Yabainika Tanzania ndio nchi iliyouza mafuta kwa bei ya chini zaidi kulinganisha na nchi nyingine jirani kutokana na uamuzi wa kuwatumia TPDC

- Msemo wa ushirika wa wachawi haudumu wamgeukia Heche, wenzake wamtolea uvivu 'kula peke yake'

- Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA chageuka mahakama ya dharura dhidi yake, aokolewa na kifo cha dereva wake.

Na Mwandishi Wetu

Siri zaidi zimevuja baada ya baadhi ya wafanyabiashara wa mafuta wanaonufaika kwa kupanga bei kubwa hasa vipindi vya dharura ''cartel' kuamamua kuwatumia wanasiasa kwa kuwahonga ili kuitia 'presha' serikali baada ya kukosa nafasi ya kuuza mafuta kwa bei ghali katika kipindi cha dharura ya mapambano ya vita baina ya Marekani na Israel dhidi ya Iran vilivyopelekea kufungwa kwa Mlango wa Bahari wa Hormuz kitendo kilichosababisha kuadimika kwa mafuta Duniani

Taarifa ambazo gazeti hili linazo zinasema wanasiasa John Heche wa Chadema na Luhaga Mpina wa ACT, kwa nyakati tofauti wamefikiwa na mkono wa wafanyabiashara hao wanaoongozwa na mmiliki wa vituo vya mafuta vya stet oil ambaye pia anasifika kwa kukopa katika mabenki mbalimbalu nchini na kukimbia madeni Nileshi Sukach

Kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kukatisha ziara ya chama hicho kilipokuwa kikielekea mikoa ya kaskazini na kukimbilia Afrika ya Kusini alipokutana na mfanyabiashara huyo, kinatajwa kuwa ni moia ya utekelezaji wa mbinu za wafanyabiashara hao kuwatumia wanasiasa kutengeneza taharuki ikiwemo kuunda tuhuma za ufisadi.View attachment 3626114
Propaganda
 
Kwahyo Mh. Heche anahusishwa na mlango wa bahari wa Hormuz.. Duh ama kweli..
 
Unakatwa na Steven Mengele
 
Ndo maana mkaamua kuwapa tuhuma za uongo za hea?
 
Back
Top Bottom