DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Makamu mwenyekiti CHADEMA bara John Heche anandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu TRC Kusimamisha safari za SGR kutoka Morogoro -Dodoma kutokana na athari za mvua.
"Mradi wa reli ya Tazara uliojengwa mwaka 1970 unapata shida kwasababu ya mvua..
Mradi wa SGR ambao umejengwa hata haujakamilika, mradi ambao umegharimu Taifa zaidi ya trilioni 14.
Hauna hata mwaka eti unasimama kwasababu kuna mvua!!!
Waliofanya upembezi yakinifu, na detail design ni kina nani? Hii hasara anaibeba nani?
Hapo jangwani ziliwekwa mabilioni ya pesa za umma, kikajengwa kituo cha Mwendokasi baada ya siku chache pakawa panajaa maji..
Hakuna mtu amewahi kuwajibika, Mnyaa Mbarawa hatawajibika na watendaji wake kwenye SGR…
Nchi inachezewa kulia na kushoto".
Pia Soma: TRC yasitisha Safari za SGR kati ya Morogoro-Dodoma kutokana na athari za mvua