Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema, “Muulizeni Mbowe viongozi wa CHADEMA wasingemtembelea gerezani angejisikiaje?”
Soma Pia: Heche: Mbowe aulizwe mwenyewe kwanini haendi mahakamani
Tundu Lissu ambaye yuko gerezani. Mimi ndio makamu mwenyekiti. Katibu mkuu wetu wa chama yuko hapa. Manaibu katibu wakuu umemuona nani pale?".
Yeye aliwahi kukaa gerezani muda mrefu kwa miezi minane kwa kuonewa na serikali hii umuulize kama viongozi wako asingekuja ungejisikiaje?".