Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwa hiyo ile hoja ya chama cha kichaga imekufaMbowe naye ana umia kuwaona mme mpokonya chama cha Baba Mkwe wake
Hapo kosa la chadema ni lipi?Chadema mnateseka sana na huyo msaliti, jifunzeni kutokupokea matapishi yenu wnyw.
Chadema mnazingua sana
Hivi wanadhani watamlazimisha Mbowe amtembelee Lissu kwa hizi kampeni za kijinga? Huyu huyu Mowe ambao kwa zaidi ya miaka miwili wamekuwa wakituambia kuwa "wakati wake umepita, aliwachelewesha sana, msaliti, alikitumia chama kujitajirisha, n.k.".Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema, “Muulizeni Mbowe viongozi wa CHADEMA wasingemtembelea gerezani angejisikiaje?”
Kutwa kuhangaika na huyo mboweHapo kosa la chadema ni lipi?
Wewe nguruwe siku nchi ikikombolewa lazima tuwaue na tuwatupie fisi pumbavu zenuSiku mjinga, mpumbavu na mshamba huyu akijibiwa na mbowe nafikiri atajinyonga. Tumshukuru Mungu kwa kumpa moyo wa kiume mbowe wa kuwapotezea wajinga wajinga.
Acha uchoko nani anahangaika na Mbowe, kwa hio heche akiukizwa kuhusu mbowe asijibu? Nyie machoko vipiKutwa kuhangaika na huyo mbowe
Lakini hapo Heche kaulizwa swali? Labda sasa Heche awe anasema aulizwe hili swali Mbaga JrKutwa kuhangaika na huyo mbowe
Amandla ni lugha za kike na machoko yawezekana wewe ni *****.Hivi wanadhani watamlazimisha Mbowe amtembelee Lissu kwa hizi kampeni za kijinga? Huyu huyu Mowe ambao kwa zaidi ya miaka miwili wamekuwa wakituambia kuwa "wakati wake umepita, aliwachelewesha sana, msaliti, alikitumia chama kujitajirisha, n.k.".
Haya ni mambo ya ndani ya familia na kulikuwa hakuna haja ya kuyaleta hadharani. Badala yake wanaonyesha tu desperation yao. Kama yeye na viongozi wenzake wameshindwa kumshawishi Mbowe wanategemea watu wa kawaida watafanikiwa vipi?
Hatua ya kwanza ni waachane na ego zao na wakiri kuwa Mbowe hakutendewa haki katika kampeni zao na wamuombe radhi. Baada ya hapo pengine, atawasamehe. na hata hiyo haina uhakika.
Amandla...
Safi sana mkuuAcha uchoko, Nyie machoko vipi
JMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema, “Muulizeni Mbowe viongozi wa CHADEMA wasingemtembelea gerezani angejisikiaje?”
Soma Pia: Heche: Mbowe aulizwe mwenyewe kwanini haendi mahakamani
Tundu Lissu ambaye yuko gerezani. Mimi ndio makamu mwenyekiti. Katibu mkuu wetu wa chama yuko hapa. Manaibu katibu wakuu umemuona nani pale?".
Yeye aliwahi kukaa gerezani muda mrefu kwa miezi minane kwa kuonewa na serikali hii umuulize kama viongozi wako asingekuja
Nawe siku hizi hueleweki wanahangaika nae kivipi si wanaulizwa maswali?kwa hiyo ulitaka wawe mabubu ndio uridhike kuwa wanahangaika na Mbowe, mkuu siku hizi ni kama nawe una kachuki fulani na timu Lissu kiukweli.Kutwa kuhangaika na huyo mbowe
Niwe na chuki na timu lissu ili iweje?Nawe siku hizi hueleweki wanahangaika nae kivipi si wanaulizwa maswali?kwa hiyo ulitaka wawe mabubu ndio uridhike kuwa wanahangaika na Mbowe, mkuu siku hizi ni kama nawe una kachuki fulani na timu Lissu kiukweli.