Heche: Muulizeni Mbowe viongozi wa CHADEMA wasingemtembelea gerezani angejisikiaje?’

Kura za wazi wewe unasema hakutendewa haki. Kweli wewe Amandla
 
Kutwa kuhangaika na huyo mbowe
Kwamba hujasikia akimwambia mtangazaji hayo maswali nendeni mkamuulize Mbowe, tujadili mambo ya msingi ya kitaifa, hujasikia??

Au huwa hamsikilizi mnadandia tu? Interests za mtangazaji na za Heche ni tofauti, huyo Heche wala hakuwa interested kuongelea mambo ya huyo msaliti.
Naona humjui huyo mchaga, he's a traitor, after money, amekasirika kunyanganywa ulaji maana chadema kwake ilikuwa business platform.
 
Mwandishi kaambiwa,amuulize Mbowe mwenyewe, Wewe unaleta makasiriko!
 
Mwandishi kaambiwa,amuulize Mbowe mwenyewe, Wewe unaleta makasiriko!
Hapana. Sio makasiriko. Ni namna alivyojibu. Jibu linaonyesha kuna tatizo baina yao. Kuna namna ya kujibu swali kama hili la kichonganishishi.

Heche should know better. Hapo ilikuwa inatafutwa headline na Heche ame ingia mzima mzima.

Amandla...
 
Hii heading haisemi hivyo. Inamtupia lawama Mbowe kana kwamba ana wajibu wa kumtembelea Lissu.

Ingekuwa vyema pia kama ungeelezea zaidi uhusiano wako na Mbowe maana inaelekea ni mtu wako wa karibu.

Amandla...
 
Sahihi kabisa. Walipokea uongozi wa chama kutoka kwakwe, walitakiwa kuendeleza na si kumlaumu Mbowe kwamba aliwachelewesha. Wanasikika mara kwa mara kwamba wao hawafanyi siasa za udalali kana kwamba mtangulizi alikuwa dalali. Kwakuwa wao ni radicals waendelee na mapambano ili tuone matunda, chama kiko mikononi mwao na chama ni taasisi inayoweza kuendelea hata kama Mbowe hafiki mahakamani.
 
MBOWE ni Bonge la Snitch
 
Niwe na chuki na timu lissu ili iweje?

Mm sio mwanasiasa, sio chadema, sio ccm, iweje niwe na chuki nae.?

Tangu mbowe aonekane kule, chadema wameongelea hilo mara ngapi?
Wanaulizwa sio wao wanaita press kumwongelea mbonye wenu, jitu lililojaa tamaa mwili mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…