4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
wajumbe walifanya kazi iliyotukuka, Mzee mtei alikosea sana kumuhozesha mwanae kwa Mbowe.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema, “Muulizeni Mbowe viongozi wa CHADEMA wasingemtembelea gerezani angejisikiaje?”
Soma Pia: Heche: Mbowe aulizwe mwenyewe kwanini haendi mahakamani
Tundu Lissu ambaye yuko gerezani. Mimi ndio makamu mwenyekiti. Katibu mkuu wetu wa chama yuko hapa. Manaibu katibu wakuu umemuona nani pale?".
Yeye aliwahi kukaa gerezani muda mrefu kwa miezi minane kwa kuonewa na serikali hii umuulize kama viongozi wako asingekuja ungejisikiaje?".
Kuwa mpumbavu sio tusi, hata kwenye kamusi hilo neno lipo. Ukikosa hoja unakuja na vijembe, unavyokuja nakupokea hivyo hivyo.Kwa kunitukana unathibitisha kuwa hauna hoja. Ingekuwa vizuri kama ungeonyesha kwa nini niliyosema ni upumbavu au kwa nini mimi ni mpumbavu kwa jumla.
Amandla...
Mkuu hili ndiyo kosa kubwa linalofanyika kwa wengi mnaojiita wazalendo, kumbe ni kichaka cha kutafuta maslahi, sasa kama unatafuta nchi ili nawewe uje kuua, unatofauti gani na unayemlalamikia leo?Wewe nguruwe siku nchi ikikombolewa lazima tuwaue na tuwatupie fisi pumbavu zenu
Uzuri ameonesha rangi yake halisi aliyokuwa anaificha kwa muda mrefu.Hivi wanadhani watamlazimisha Mbowe amtembelee Lissu kwa hizi kampeni za kijinga? Huyu huyu Mowe ambao kwa zaidi ya miaka miwili wamekuwa wakituambia kuwa "wakati wake umepita, aliwachelewesha sana, msaliti, alikitumia chama kujitajirisha, n.k.".
Haya ni mambo ya ndani ya familia na kulikuwa hakuna haja ya kuyaleta hadharani. Badala yake wanaonyesha tu desperation yao. Kama yeye na viongozi wenzake wameshindwa kumshawishi Mbowe wanategemea watu wa kawaida watafanikiwa vipi?
Hatua ya kwanza ni waachane na ego zao na wakiri kuwa Mbowe hakutendewa haki katika kampeni zao na wamuombe radhi. Baada ya hapo pengine, atawasamehe. na hata hiyo haina uhakika.
Amandla...
Umeongea vizuri sana. Watamtupia lawama Mbowe mpaka lini?Sahihi kabisa. Walipokea uongozi wa chama kutoka kwakwe, walitakiwa kuendeleza na si kumlaumu Mbowe kwamba aliwachelewesha. Wanasikika mara kwa mara kwamba wao hawafanyi siasa za udalali kana kwamba mtangulizi alikuwa dalali. Kwakuwa wao ni radicals waendelee na mapambano ili tuone matunda, chama kiko mikononi mwao na chama ni taasisi inayoweza kuendelea hata kama Mbowe hafiki mahakamani.
Hivi wanadhani watamlazimisha Mbowe amtembelee Lissu kwa hizi kampeni za kijinga? Huyu huyu Mowe ambao kwa zaidi ya miaka miwili wamekuwa wakituambia kuwa "wakati wake umepita, aliwachelewesha sana, msaliti, alikitumia chama kujitajirisha, n.k.".
Haya ni mambo ya ndani ya familia na kulikuwa hakuna haja ya kuyaleta hadharani. Badala yake wanaonyesha tu desperation yao. Kama yeye na viongozi wenzake wameshindwa kumshawishi Mbowe wanategemea watu wa kawaida watafanikiwa vipi?
Hatua ya kwanza ni waachane na ego zao na wakiri kuwa Mbowe hakutendewa haki katika kampeni zao na wamuombe radhi. Baada ya hapo pengine, atawasamehe. na hata hiyo haina uhakika.
Amandla...
Uzuri ni kuwa huu ni wakati muafaka wa kuonyesha kuwa mchango wake hauna umuhimu. Ushindi wa chini ya kura kumi mkauchukua kuwa umewapa mandate ya kubomoa kila mlichokuta. Chama sasa ni chenu na hamna wa kumsingizia. Nasikia Mbowe hata hafiki kwenye ofisi za chama chake.Uzuri ameonesha rangi yake halisi aliyokuwa anaificha kwa muda mrefu.
Sasa fofauti yenu na Ccm itakuwa ipi kama na nyie mnajipanga kuua?Wewe nguruwe siku nchi ikikombolewa lazima tuwaue na tuwatupie fisi pumbavu zenu
Amekwambia nani kuwa kwenye kamusi hamna matusi!Kuwa mpumbavu sio tusi, hata kwenye kamusi hilo neno lipo. Ukikosa hoja unakuja na vijembe, unavyokuja nakupokea hivyo hivyo.
Siku mjinga, mpumbavu na mshamba huyu akijibiwa na mbowe nafikiri atajinyonga. Tumshukuru Mungu kwa kumpa moyo wa kiume mbowe wa kuwapotezea wajinga wajinga.
Kitendo cha wewe ku assume kwamba maoni yangu yanaakisi ukaribu wangu na Mbowe ni upumbavu, hujui kusoma maoni na kuyaelewa hadi kuamua kunikejeli.Amekwambia nani kuwa kwenye kamusi hamna matusi!
Wewe sio wa kwanza kunirushia vijembe na hautakuwa wa mwisho. Ninachotaka hapa ni uniambie ty upumbavu wangu uko wapi ili nijirekebishe.
Amandla...
Na huenda waulizaji wanawatuma wao sio kwa mfululizo wa maswali ya kihiviWanaulizwa sio wao wanaita press kumwongelea mbonye wenu, jitu lililojaa tamaa mwili mzima
Si ni sawa tu na wana Chadema wanavyomuona Nchimbi ni mtu safi dhidi ya kimama.Kijana wa CCM unamtetea Mbowe mwanachadema tena kamati kuu
Wengi wao wameenda ChaummaNinashauri CHADEMA ifukuze wachaga wote kwa sababu ni mapandikizi ya Mbowe ndani ya chama.
Afike kufanya nini wakati kiitikadi sio mwenzetu?. Chama sio jina,chama ni itikadiUzuri ni kuwa huu ni wakati muafaka wa kuonyesha kuwa mchango wake hauna umuhimu. Ushindi wa chini ya kura kumi mkauchukua kuwa umewapa mandate ya kubomoa kila mlichokuta. Chama sasa ni chenu na hamna wa kumsingizia. Nasikia Mbowe hata hafiki kwenye ofisi za chama chake.
Amandla...
Sasa je, hizo ni kete wanacheza ili kuwafanya wawe attention na maigizo yao na wanajua kabisa heche ni kichwa hawezi kuzungumzia mtu baki aache kufukua maovu yao hawa mafilauniNa huenda waulizaji wanawatuma wao sio kwa mfululizo wa maswali ya kihivi
Ulisema "simjui yule mchaga" halafu ukatoa sifa zake. Hii kwangu mimi ilimaanisha kuwa wewe unamjua vizuri ( angalau zaidi yangu) yule mchaga. Ndio maana ni assume uko karibu nae. Sasa muungwana angesema " hapana siko karibu nae ila nimekuwa namfuatilia kwa muda mrefu". Hapakuwa na haja ya kuitana "mpumbavu".Kitendo cha wewe ku assume kwamba maoni yangu yanaakisi ukaribu wangu na Mbowe ni upumbavu, hujui kusoma maoni na kuyaelewa hadi kuamua kunikejeli.
Kama mnajua hilo, kwa nini hamuishi kumuandama? Mnataka nini kutoka kwa mtu ambae si mwenzenu?Afike kufanya nini wakati kiitikadi sio mwenzetu?. Chama sio jina,chama ni itikadi
Na kweli Mbowe kapiga pesa sana kwasababu aliweka chawa sehemu zote zenye pesa aliweka Wachaga wenzake yani Ukienda pale Makao makuu ya Chama kuanzia Mlinzi mpaka Madereva na watu wa Usafi aliweka Machawa wake na Pesa zote walizokua wanakatwa Wabunge alikua ana ziweka mfukoni kwa kuwadanganyanya zitawasaidia kwenye Uchaguzi ujao kumbe Uongo, Yeye anaenda kukutana na CCM Wana mgawawia Wabunge kazaa kwenye Baadhi ya Majimbo ili Dunia ione kuna Uchaguzi huru na Demokrasia, Kuna kiongozi wa CCM kwenye awamu ya 4 alikua ana hojiwa akasema Wao Viongozi wa Vyama vya Siasa hawana Ugomvi wala chuki akasema wao pindi cha Uchaguzi na wanafanya Vikao na kuachiana Majimbo kwasababu CCM wanajua kabisa kua maeneo hawashindi kwahiyo wanakaa na kuzungumza na kula na kunywa, huyo Kiongozi akashangaa kwanini wananchi wanakua wanagombana mpaka kufikia kutoana uhai wakati Viongozi wao wanapenda.Kwamba hujasikia akimwambia mtangazaji hayo maswali nendeni mkamuulize Mbowe, tujadili mambo ya msingi ya kitaifa, hujasikia??
Au huwa hamsikilizi mnadandia tu? Interests za mtangazaji na za Heche ni tofauti, huyo Heche wala hakuwa interested kuongelea mambo ya huyo msaliti.
Naona humjui huyo mchaga, he's a traitor, after money, amekasirika kunyanganywa ulaji maana chadema kwake ilikuwa business platform.
Matendo yake ndiyo yanayomuandama. Amejiingiza kwenye rekodi chafu sana!Kama mnajua hilo, kwa nini hamuishi kumuandama? Mnataka nini kutoka kwa mtu ambae si mwenzenu?
Amandla...