Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi

Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amedai kuwa jumla ya viongozi 51 wa chama hicho wamekamatwa na Jeshi la Polisi ndani ya siku mbili katika kanda tatu nchini na kubambikiziwa kesi za ugaidi.

Soma: Viongozi watatu wa CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya siasa

Akitoa takwimu hizo, Heche amebainisha kuwa waliokamatwa ni pamoja na viongozi 23 kutoka Kanda ya Victoria, viongozi 17 kutoka Kanda ya Serengeti (inayojumuisha mikoa ya Shinyanga, Mara na Simiyu), pamoja na viongozi 11 kutoka Kanda ya Nyasa.

 
Wekeni majina ya hao wahanga yajulikane.

Je, shekhe Mwaipopo aliyekiri hadharani kumiliki, kulea na kufadhili makundi ya jeshi lake binafsi la wauaji nchini Tanzania ameshakamatwa??
 
Back
Top Bottom