Heche ndo Kaimu Mwenyekiti CHADEMA kwa SASA! Ndo hatari zaidi

Hamna kitu hapo. Hana maarifa wala mikakati, ni wa kupokea maelekezo

Hapo alipo hana neno zaidi ya kusubiri maelekezo yeye na lema

Kiufupi ni kama wamebaki yatima. Hawana mkakati tena.
 
Na mkakati wa No reforms umekwisha hawawezi kuuelezea tena.

Labda wamkaribishe Slaa auseme kipindi Lisu yupo kolokoloni
 
Ndio wakati sahihi wa kwenda kumpigia magoti Mh. Mbowe aje kuokoa jahazi
 
Heche ndo kichwa Hana kabisa (bora kibovu cha Mwenyekiti)
 
Hamna kitu hapo. Hana maarifa wala mikakati, ni wa kupokea maelekezo

Hapo alipo hana neno zaidi ya kusubiri maelekezo yeye na lema

Kiufupi ni kama wamebaki yatima. Hawana mkakati tena.
Mnavyo jitutumua utadhani mnawatu
 
Hamna kitu hapo. Hana maarifa wala mikakati, ni wa kupokea maelekezo

Hapo alipo hana neno zaidi ya kusubiri maelekezo yeye na lema

Kiufupi ni kama wamebaki yatima. Hawana mkakati tena.
Poleni sanq Lumumba,maana kijana wenu WASIRA anahanya.
Wanakosa mango wa kutokea,hilo ni DOLE LA KATI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…