johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mnafiki mmoja weweHii Kauli ya kamanda Heche imenihuzunisha sana hasa nikikumbuka Yeriko na Ntobi walivyonunuliwa Suti na Wenje kwenye mdahalo wa Jana
Kumbe ziko damu zinaililia Chadema iliyoko sokoni inauzwa
Nimeogopa sana 🐼
Wewe umewahi kupigwa hata kirungu ukiitetea Chadema? 🐼Mnafiki mmoja wewe
Mshana Nadhani bado huijui CDM,mda ni hakimu mtarudi hapa siku moja.Mnafiki mmoja wewe
Umeacha kuuza Uduvi sasa unaishi kwa hisani ya Balozi wa Yuesiei 😂😂😂Mnafiki mkubwa mleta mada.
Hii Kauli ya kamanda Heche imenihuzunisha sana hasa nikikumbuka Yeriko na Ntobi walivyonunuliwa Suti na Wenje kwenye mdahalo wa Jana
Kumbe ziko damu zinaililia Chadema iliyoko sokoni inauzwa
Nimeogopa sana 🐼
Mbowe kachomoka!Hivi mnamjua Mbowe au mnamsikia?.
Achana na chagadema bwana weka mbali na watoto.
Leo ndo TAL anagundua kuwa CDM ni Mali ya Mbowe