Heche: Nikitoka nyumbani nje Kuna kaburi la mdogo wangu Saguti aliyeuawa akiitetea Chadema, hiki ni Chama Cha Watu siyo MTU!

Heche: Nikitoka nyumbani nje Kuna kaburi la mdogo wangu Saguti aliyeuawa akiitetea Chadema, hiki ni Chama Cha Watu siyo MTU!

Mbona mkongwe sultan alisema ataingia mzigoni akiona chama chake kinaenda sivyo? Aambiwe chama si cha mtu mmoja ni chama cha wananchi wote wa Tanzania wanaojiunga nacho kuwa wanachama wake
 
Hii Kauli ya kamanda Heche imenihuzunisha sana hasa nikikumbuka Yeriko na Ntobi walivyonunuliwa Suti na Wenje kwenye mdahalo wa Jana

Kumbe ziko damu zinaililia Chadema iliyoko sokoni inauzwa

Nimeogopa sana 🐼

GfJHa73XEAAaMcf.jpeg
 
Hivi mnamjua Mbowe au mnamsikia?.
Achana na chagadema bwana weka mbali na watoto.
Leo ndo TAL anagundua kuwa CDM ni Mali ya Mbowe
 
Inasikitisha sana.

Watu wazima wanachekelea kuona binadamu wenzao katika kupambania haki wanapigwa virungu, mapanga, risasi hadi kifo au ulemavu na vyombo vya dola. Kisha watu hao hao wanaona raha kabisa kulaumu viongozi wa upinzani kwa “kuuza damu” za wenzao!

Nazidi kuelewa ilikuwaje maelfu (Malaki) ya Waafrika walisombwa utumwani Uarabuni, Amerika ya Kusini na Marekani kirahisi rahisi kuliko watu wa mataifa mengine. Hulka ya utumwa, unafiki na uchawa kwa madikteta ni msiba mkuu wa Afrika.
 
Back
Top Bottom