PostGE2025 Heche: Nimesikitika hajatamka Watu wangapi wamekufa, idadi ya majeruhi. Waliohusika kufanya mauaji wachukuliwe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amezungumza kupitia BBC baada ya hotuba ya Rais Samia akifungua Bunge la 13.

Ndio hapa mawasiliano ya BBC yalikatwa ili tusikilizi upande wa pili wa shillingi, na huku kuna ntu anasema ana nyosha mkono wa maridhiano???
 
..waliouwawa na kujeruhiwa idadi yao ijulikane na taarifa zao zitangazwe katika vyombo vya habari vya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…