shahidi wa kujificha ni wa mchongo huyo, watadedi wote.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amvaa vikali mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Samia Suluhu kwa madai kwamba anamuogopa Mwenyekiti wao wa CHADEMA, Tundu Lissu, "hatukati tamaa"
Heche amewashangaa Mawakili wa Jamhuri kwa kutaka kesi ya Lissu isirushe moja kwa moja kwa kile walichodai kuwa kuwaficha mashahidi wa upande wa Jamhuri.
TAL anaogopekq na majangili yoteMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amvaa vikali mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Samia Suluhu kwa madai kwamba anamuogopa Mwenyekiti wao wa CHADEMA, Tundu Lissu, "hatukati tamaa" Heche amewashangaa Mawakili wa Jamhuri kwa kutaka kesi ya Lissu isirushe moja kwa moja kwa kile walichodai kuwa kuwaficha mashahidi wa upande wa Jamhuri.
hata kama hamkati tamaa inawahusu nini wasio husika? π€£Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amvaa vikali mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Samia Suluhu kwa madai kwamba anamuogopa Mwenyekiti wao wa CHADEMA, Tundu Lissu, "hatukati tamaa" Heche amewashangaa Mawakili wa Jamhuri kwa kutaka kesi ya Lissu isirushe moja kwa moja kwa kile walichodai kuwa kuwaficha mashahidi wa upande wa Jamhuri.
Kuwaficha mashahidi ni ishara kuwa ushahidi wao not credible!πΌ
Siri ni ya Mtu mmoja tu kwa mujibu wa Wana interejensia wa Dunia
Ulimuona mdogo wangu Seth jana? ππhata kama hamkati tamaa inawahusu nini wasio husika? π€£
nashukuru alitoa mchango mzito tu kwa ajili ya CCM madhubuti πUlimuona mdogo wangu Seth jana? ππ
Sisi Iringa ndio wenye CCM πnashukuru alitoa mchango mzito tu kwa ajili ya CCM madhubuti π
Hivi iringa ni mjini? maana wenye ccm ni watoto wa mjini tu...Sisi Iringa ndio wenye CCM π
Nadhani ASAS ulimuona pia π
Bado hujasema Hadi useme.Mlimkejeli sana Mwamba nyie Sasa zamu yenu.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amvaa vikali mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Samia Suluhu kwa madai kwamba anamuogopa Mwenyekiti wao wa CHADEMA, Tundu Lissu, "hatukati tamaa" Heche amewashangaa Mawakili wa Jamhuri kwa kutaka kesi ya Lissu isirushe moja kwa moja kwa kile walichodai kuwa kuwaficha mashahidi wa upande wa Jamhuri.
JK kasoma pale Tosamaganga πHivi iringa ni mjini? maana wenye ccm ni watoto wa mjini tu...
Qmmkhata kama hamkati tamaa inawahusu nini wasio husika? π€£