Heche: RC Sirro anasema kifo cha Suez ni cha kawaida hata kabla ya majibu ya Postmortem

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza leo Julai 5, 2026 katika Mazishi ya aliyekuwa Dereva wake Suez ambaye taarifa za kifo chake iliripotiwa Julai 1, 2026 Kigoma, ambapo hadi sasa hayajatoka majibu rasmi kuhusu nini hasa kilipelekea kifo chake.

Heche ameeleza kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Simon Sirro alitoa majibu yasiyo ya kisayansi wala kitaalam kuwa kifo cha Suez ni cha kawaida wakati majibu ya Postmortem yakiwa hayajatoka bado, jambo ambalo Heche amesema inatia mashaka kitu gani haswa kinafichwa kuhusu ukweli wa kifo cha Suez

Soma pia RC Simon Sirro: Kwa uzoefu wa askari wetu kifo cha dereva wa Heche kilikuwa cha kawaida

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza leo Julai 5, 2026 katika Mazishi ya aliyekuwa Dereva wake Suez ambaye taarifa za kifo chake iliripotiwa Julai 1, 2026 Kigoma.
kutafuta kiki na public sympathy kwenye msiba ni kitu nonsense sana aise hususani kwa suspect no.1 wa kifo hicho.

heche,
dhuluma uliyomfanyia huyo muungwana malipo yake utayapata humu humu duniani.

You poisoned the innocent gentleman kwaajili ya pesa za michango ya watu waliochanga kwa hiyari zao?

this is ridiculous 🐒
 
Hivyo vitu na pesa policcm wamekwapua kama walivyokwapua mpaka masufuria walipokua wanalinda kanisa la Gwajima walilolifungia.
 
kutafuta kiki na public sympathy kwenye msiba ni kitu nonsense sana aise hususani kwa suspect no.1 wa kifo hicho.

heche,
dhuluma uliyomfanyia huyo muungwana malipo yake utayapata humu humu duniani.

You poisoned the innocent gentleman kwaajili ya pesa za michango ya watu waliochanga kwa hiyari zao?

this is ridiculous 🐒
We fala tu, hakuna Anayekuzingatia humu na njaa zako.
 
Hivi huyo mkuu wa mkoa ndio yule alikuwa polisi, kwahiyo hajafikisha umri wa kustaafu au ndio walewale wakina Kabudi, Wasira.
 
kutafuta kiki na public sympathy kwenye msiba ni kitu nonsense sana aise hususani kwa suspect no.1 wa kifo hicho.

heche,
dhuluma uliyomfanyia huyo muungwana malipo yake utayapata humu humu duniani.

You poisoned the innocent gentleman kwaajili ya pesa za michango ya watu waliochanga kwa hiyari zao?

this is ridiculous 🐒
Wewe Tlaatlaal una mavi na wadudu kichwani. Hakuna mtu mjinga kama wewe Tlaatlaah......Endelea kuongea upupu ili uwafurahishe mabwana zako. Fala wewe usiye na huruma kwa maisha ya watanganyika.
 
jikite kwenye hoja bila mihemko wala kuporomosha matusi na itapendeza zaidi gentleman,

ikiwa uko pointless, kaa kimya tu 🐒
 
Kwani haya mavi yako unayoyaandika humu jamvini wewe unaona ni pointful!?
 
Wewe Tlaatlaal una mavi na wadudu kichwani. Hakuna mtu mjinga kama wewe Tlaatlaah......Endelea kuongea upupu ili uwafurahishe mabwana zako. Fala wewe usiye na huruma kwa maisha ya watanganyika.

Hapa JF, hakuna mtu punguani wa akili na roho kama huyo Tlaatlah, mimi nilili-ignore zamani sana, ili nipate muda wz kujadiliana au kukosolewa na wenye akili timamu pekee. Muda wa kuupoteza kwaajili ya hayo mapunguani shetani, sinao.
 
Back
Top Bottom