Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, ametoa wito kwa wananchi kuunga mkono chama chake ili kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kijamii nchini. Katika hotuba yake akiwa Lindi Juni 3, 2026, Heche alikosoa vikali usimamizi wa rasilimali za nchi, akibainisha kuwa ingawa Tanzania ina utajiri mkubwa ikiwemo dhahabu, bado idadi kubwa ya wananchi wanakabiliwa na umaskini na njaa hata baada ya miongo sita ya uhuru.