Akiri kwanza na kutaja aliua na kufukia wangapi ndio tuanzie hapo. Tutaridhiana huku anatoa matamko ya kifedhuli ' Mngetaka wasiuawe mngewazuia wasiandamane', 'Walioandamana na kuuawa walitoka Nchi jirani, ' Nguvu iliyotumika iliendana tukio'. Na mengine mengi. Yoyote atakaeingia kwenye maridhiano na Serikali hii dhalimu hatutumsamehe na damu za ndugu zetu zitae delea kulia hadi tuwatendee haki.