PreGE2025 Heche: Serikali imepanic na 'No Reforms No Election', Green Guard na MADC watuhumiwa kuratibu fujo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amedai kuwa serikali imepanic kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kwa kampeni ya 'No Reforms No Election' inayopigania mabadiliko kabla ya uchaguzi.

Kupitia X, Heche amesema kuna makundi ya vijana wa Green Guard na baadhi ya wafuasi wa CCM wanaolipwa wanaoratibiwa na MADC kupelekwa kwenye mikutano yao kuvuruga, kupiga picha na kurekodi video kuzisambaza ili kuonesha wananchi wanapinga kampeni hiyo.

Screenshot 2025-06-10 093723.png
Soma pia Pre GE2025 - Msajili avitaka Vyama vya siasa kuheshimu sheria wawapo katika mikutano yao ya hadhara
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amedai kuwa serikali imepanic kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kwa kampeni ya 'No Reforms No Election' inayopigania mabadiliko kabla ya uchaguzi.

Kupitia X, Heche amesema kuna makundi ya vijana wa Green Guard na baadhi ya wafuasi wa CCM wanaolipwa wanaoratibiwa na MADC kupelekwa kwenye mikutano yao kuvuruga, kupiga picha na kurekodi video kuzisambaza ili kuonesha wananchi wanapinga kampeni hiyo.

Duh! wanahangaika na Chama ambacho hata kwenye uchaguzi hakipo!

#NoReformsNoElection
 
CPA Makala anasema uchaguzi utafanyika tu🐼
1000039939.jpg
 
Back
Top Bottom