Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Duh! wanahangaika na Chama ambacho hata kwenye uchaguzi hakipo!Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amedai kuwa serikali imepanic kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kwa kampeni ya 'No Reforms No Election' inayopigania mabadiliko kabla ya uchaguzi.
Kupitia X, Heche amesema kuna makundi ya vijana wa Green Guard na baadhi ya wafuasi wa CCM wanaolipwa wanaoratibiwa na MADC kupelekwa kwenye mikutano yao kuvuruga, kupiga picha na kurekodi video kuzisambaza ili kuonesha wananchi wanapinga kampeni hiyo.
Kupitia X, Heche amesema kuna makundi ya vijana wa Green Guard na baadhi ya wafuasi wa CCM wanaolipwa wanaoratibiwa na MADC kupelekwa kwenye mikutano yao kuvuruga, kupiga picha na kurekodi video kuzisambaza ili kuonesha wananchi wanapinga kampeni hiyo.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amedai kuwa serikali imepanic kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kwa kampeni ya 'No Reforms No Election' inayopigania mabadiliko kabla ya uchaguzi.
Kupitia X, Heche amesema kuna makundi ya vijana wa Green Guard na baadhi ya wafuasi wa CCM wanaolipwa wanaoratibiwa na MADC kupelekwa kwenye mikutano yao kuvuruga, kupiga picha na kurekodi video kuzisambaza ili kuonesha wananchi wanapinga kampeni hiyo.
Hiyo ni kawaida ya kiumbe kisichokuwa na akili yenye kujiratibu kiuweledi.Poor CCM!CCM ni waoga sana
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURACPA Makala anasema uchaguzi utafanyika tu🐼View attachment 3362966