Heche: Siasa ngumu zinahitaji watu wagumu

Heche: Siasa ngumu zinahitaji watu wagumu

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mgombea nafasi makamu mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema kutokana na hali ya kisiasa ya sasa ya nchini inahitaji watu wagumu kuziongoza ili kuleta mabadiliko.

Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?

Heche ameyasema hayo leo Jumatano Januari 22, 2025 akinadi sera zake katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam ambako uchaguzi huo unafanyika.

upotoshaji mtupu,
kuna siasa gani ngumu Tanzania bana🐒
 
Hahaha anatufokea wapiga kura, ngoja zamu yetu ifike atatelewa tulivyo wagumu.
 
Back
Top Bottom