Mgombea nafasi makamu mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema kutokana na hali ya kisiasa ya sasa ya nchini inahitaji watu wagumu kuziongoza ili kuleta mabadiliko.
Heche ameyasema hayo leo Jumatano Januari 22, 2025 akinadi sera zake katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam ambako uchaguzi huo unafanyika.