Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amesema kuwa msimamo wake hauwezi kubadilika wala kutetereka na uwepo maneno au propaganda dhidi yake.
Heche ameyasema hayo Julai 15, 2026 nyumbani kwake Tarime, mkoani Mara akizungumza na wanaBAWACHA waliomtembelea kumfariji mara baada ya kufiwa na dereva wake Suez Dani Maradufu.
Soma: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone
“Mnayoita mashambulizi dhidi yangu ni kwa sababu mpira uko hapa…. haya mengine mengine haya wala sisikilizi wala hayanipi shida waliokuwa wanajidanganya nitarudi nyuma, mimi ni mtu wa kutishwa mimi, yani kwamba unaweza kunirudhisha nyuma kwa maneno ya mtaani hayo ya khanga khanga nikaskiliza Mimi nasonga mbele” amesema Heche.