Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Machawa sindano imewaingia, haya waendelee na mradi wa kutumia watu nauli wasafiri kufanya press kwenye lile pazia.Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amesema kuwa msimamo wake hauwezi kubadilika wala kutetereka na uwepo maneno au propaganda dhidi yake.
Heche ameyasema hayo Julai 15, 2026 nyumbani kwake Tarime, mkoani Mara akizungumza na wanaBAWACHA waliomtembelea kumfariji mara baada ya kufiwa na dereva wake Suez Dani Maradufu.
Soma: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone
“Mnayoita mashambulizi dhidi yangu ni kwa sababu mpira uko hapa…. haya mengine mengine haya wala sisikilizi wala hayanipi shida waliokuwa wanajidanganya nitarudi nyuma, mimi ni mtu wa kutishwa mimi, yani kwamba unaweza kunirudhisha nyuma kwa maneno ya mtaani hayo ya khanga khanga nikaskiliza Mimi nasonga mbele” amesema Heche.
hahahahaaaaa we jamaa umenichekesha sana.Rasmi,John Heche achunguzwe na ashtakiwe kwa kutokuogopa na kutotishwa na maneno ya kwenye kanga.
fisadi bana 🤣Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amesema kuwa msimamo wake hauwezi kubadilika wala kutetereka na uwepo maneno au propaganda dhidi yake.
Heche ameyasema hayo Julai 15, 2026 nyumbani kwake Tarime, mkoani Mara akizungumza na wanaBAWACHA waliomtembelea kumfariji mara baada ya kufiwa na dereva wake Suez Dani Maradufu.
Soma: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone
“Mnayoita mashambulizi dhidi yangu ni kwa sababu mpira uko hapa…. haya mengine mengine haya wala sisikilizi wala hayanipi shida waliokuwa wanajidanganya nitarudi nyuma, mimi ni mtu wa kutishwa mimi, yani kwamba unaweza kunirudhisha nyuma kwa maneno ya mtaani hayo ya khanga khanga nikaskiliza Mimi nasonga mbele” amesema Heche.
Asilinganishe maneno ya kanga na vitu vya ajabuMakamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amesema kuwa msimamo wake hauwezi kubadilika wala kutetereka na uwepo maneno au propaganda dhidi yake.