Heche: Soon anaweka kina Sabaya wake, Uchumi wa kati umeanguka lini?

Hata mpumbavu hujiona mweny akili
 
wewe mjinga ajabu, unafikiria hela ni ya ruzuku pekee, lakini sikulaumu, ati cia, cia wakitaka kuondoa ccm na samia madarakani hata wiki 5 haziishi, ccm inaanguka, ni vile tu tz sio taifa la muhimu sana kwa mataifa makubwa duniani,sasa kaa cia waliangusa gadaffi kule libya licha ya utajiri na weledi wake , ccm ni nani, wewe rudi chato
 
Chama kimekwenda digital na kadi watu wanachangia kwa madaraja. Kuna Diamond, Gold, Silver membership. Ni ubunifu ndiyo unaingiza pesa.

Msipokubali kwa amani yatatokea yaliyotokea Swaziland, wapeni watu uhuru wa kuchagua. Miaka 60 ya CCM madarakani bado 40% wanaishi katika nyumba za udongo wala hakuna mawazo ya kuwanasua katika hali hiyo.
 
Tell them my sister, miaka 60 na bado kuna umasikini wa ajabu, licha ya taifa kuwa na utajiri wa ajabu, this party must go
 
Msipokubali kwa amani yatatokea yaliyotokea Swaziland, wapeni watu uhuru wa kuchagua. Miaka 60 ya CCM madarakani bado 40% wanaishi katika nyumba za udongo wala hakuna mawazo ya kuwanasua katika hali hiyo.
NI wqapumbavu kama wewe tu ndiyo wanaweza kukuamini huu uharo wakoulioandika sasa katika hao maskini unaowaona wameletewa na ccm hiyo digital yenu ya kijinga wanaimudu vipi yaani ukiwa mpumbavu na akili ya kudanganya unaikosa maskini anakuchangia nini sasa na chama lako la kitapeli mwenyekitii kang'ang'ania madarakani hataki kuheshimu katiba loooo shame on you
 
Africa sijui itapata lini akina Mandela jamani, tuna viongozi wa hovyo sn
 
Katiba ya CDM unaijua kuliko CDM wenyewe?
 
Mbona mabeberu walidunda kwa jpm,,mi nawaonea huruma tu,harakati zenu haziwezi kuzaa matunda leo,,labda 2050,kije kizazi kipya,kina henche, mbowe,lisu,mnyika ni wanasiasa wazuri tu,,tatizo,,hawana washauri wazuri waliobobea kufanya siasa,
Siasa za kiuna harakati,zitakua just that..mbowe atazeeka,lisu vilevile,henche atarudi tarime kwa uzee na bado watakua hawajafanikiwa,kukamata madaraka,
 
Lakini maisha magumu tunaumia wote awe CCM, CHADEMA n.k
 
Haya ndiyo mafanikio ya CCM kwa miaka 60 waliyokaa madarakani
 
Lakini maisha magumu tunaumia wote awe CCM, CHADEMA n.k
Sawa,tutapiga hatua iwapo tutakaa na kuongea,,confrotation haiwezi kuwafikisha popote,,waulizeni HAMAS,,
Wakati mwingine kama huwezi kutumia nguvu inabidi diplomacy itumike,
Maalimu seif mwenyewe aliona bira waongee,kidogo kidogo watagain,,
Angejua toka enzi za comando Amour,,leo hii wangekuwa washapiga hatua
 
Alichofanyiwa 2020 anakijua, CCM bila nguvu ni zero
 
Kumbe Heche mpuuzi kiasi hiki!!. Mtu anayeweza kuwafutia kesi kina Mbowe na Mdude ndio aanzishe magenge ya kina Sabaya!!.

Wapiga kura ni watu wenye akili na busara nyingi sana. Akili za aina hii wamezipiga chini.
 
Sasa kama mmeiba uchaguzi na kucezea ruzuku hakuna pesa zipatikane wapi?

Hoja hapa ni katiba walete mchakato huru wasiuingilie mchakato kwa kuweka mamluki wao waone kama kuna mtu ataukataa.

Tunaposema haki tunataka kweli haki sio nusu haki yaani kutuuma uku unatupuliza kama panya!!
 
Unaandika hivi ukiwa nyuma ya keeyboard huku umefunga milango kwa hofu kuu
Sasa wewe hapo unaona maajabu yapi?

Hali ingekuwa inaruhusu isingemlazimu "afunge milango kwa hofu" wakati akiandika hayo. Kwani wewe hali hiyo ndiyo inayokufurahisha?

Au unadhani kwa vile ana hofu, hayo aliyoandika hayawezi kutokea?

Wewe hapo unajiona upo salama sana na mwenye furaha nyingi kwa vile sasa hivi ndiwe unayeshangilia watu wawe na hofu kwa kujua watashughulikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…