Heche: Soon anaweka kina Sabaya wake, Uchumi wa kati umeanguka lini?

This is a NICE one ............!!
 
Uko sahihi kabisa. Hatuwezi kumpata malaika wa kuikomboa nchi hii kutoka dimbwi la umaskini huku tukiwa na raslimali za kutosha tu, kupitia ccm!
CCM ni genge la hatari hata ashuke malaika hawezi kuwaongoza wana uovu wa kila aina .
 
Ahahahahaha nakumbuka Mbowe anatamka eti 'Mama yetu tupe tumaiji jipya'..zisi kantre miyayusho sana
 
Chadema na genge la wachaga wanaamini katiba mpya ndo itawapa urais,warekebishe katiba ya chama Kwanza ili Mbowe aachie madaraja baada ya hapo tuje kwenye katiba ya nchi.

Shubamiti!!!!!
 
CHADEMA wanaponifurahisha ni pale wanapoilinda katiba inayomfanya Mbowe kama Mungu wao. Mwamba tuvushe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…