HECHE Una siku 13 za kuamsha Ari na Utayari wa Maandamano NCHI nzima , Kuna uwezekano LISSU akafungwa

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Kuanzia Kesho Mikutano ifanyike NCHI Nzima, Kila Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa , Itisheni Mikutano ya Dharura NCHI nzima, mkihamasisha Wananchi Kua Tayari na WASIKUBALI KAMWE LISSU KUFUNGWA !!.

KAMA KUKINUKISHA HII SASA IWE KWELIKWELI KUKINUKISHA.

Na katika hili, niwalale TEC kua Tayari kuongoza Maandamano kupinga huuu UHUNI wanaopanga Kumfanyia Lissu.

Sambamba na Hilo , Ni kwa namna gan ,Samia anaweza kuendelea 2030 au kuweka Mtu wake MADARAKANI!!.

Niiombe Kamati Kuu ya CHADEMA, HECHE, ITISHENI MIKUTANO YA DHARURA KUANZIA KESHO.

Na muwaambir Wananchi, mmepa4a Habari za ndani ndani kua wamepanga Kumfunga LISSU, Wananchi wawe Tayari kwa lolote !!.
 
SAFARI YA ABDUL KWA MSEVEN KUMBE ILIKUA NI KWENDA KUTAFUTA ' JIBU LA NAMBA GAN LISSU AKIFUNGWA, BADO NCHI ITAENDELEA KUA NA UTULIVU KAMA ANAVYOMFANYA MSEVEN KWA BESIGYE '.

Sambamba na Hilo , Ni kwa namna gan ,Samia anaweza kuendelea 2030 au kuweka Mtu wake MADARAKANI!!.

Niiombe Kamati Kuu ya CHADEMA, HECHE, ITISHENI MIKUTANO YA DHARURA KUANZIA KESHO.

Na muwaambir Wananchi, mmepa4a Habari za ndani ndani kua wamepanga Kumfunga LISSU, Wananchi wawe Tayari kwa lolote !!.
heche ndio anamkaanga vizuri sana mwenyekiti wake aise,
ni wazi hali kama hii ina asilimia 99% kutokea :1Head:
 
Attachments

  • Saddam Hussein’s Chilling Reaction to His Death Sentence _ Real Courtroom Footage (2006).mp4
    2.8 MB

Kitima si katibu mkuu kivuli wa chadema taifa gentleman, kwani hujui? halafu wote ni wa manyoni wa kabila moja na mtuhumiwa uhaini:1Head:
I agree to disagree lakini hili la kuifunganisha CDM na upande fulani wa dini/dhehebu halijakaa sawa kwa ustawi na afya ya chama, na ndio hapa mnapogawa watu na kuraise sintofahamu.
 
Kuanzia Kesho Mikutano ifanyike NCHI Nzima, Kila Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa , Itisheni Mikutano ya Dharura NCHI nzima, mkihamasisha Wananchi Kua Tayari na WASIKUBALI KAMWE LISSU KUFUNGWA !!.

KAMA KUKINUKISHA HII SASA IWE KWELIKWELI KUKINUKISHA.

Na katika hili, niwalale TEC kua Tayari kuongoza Maandamano kupinga huuu UHUNI wanaopanga Kumfanyia Lissu.

Sambamba na Hilo , Ni kwa namna gan ,Samia anaweza kuendelea 2030 au kuweka Mtu wake MADARAKANI!!.

Niiombe Kamati Kuu ya CHADEMA, HECHE, ITISHENI MIKUTANO YA DHARURA KUANZIA KESHO.

Na muwaambir Wananchi, mmepa4a Habari za ndani ndani kua wamepanga Kumfunga LISSU, Wananchi wawe Tayari kwa lolote !!.
Mbona mmepaniki mapema hivi? Lissu si ni Wakili maarufu? Sasa hofu ya nini? Au mmeona akina Mnyika, Golugwa Brenda, Heche utetezi wao ni wa ovyo na haujamsaidia Lissu ndio maana mmeanza kulialia? Lakini mbona tuliishawaambia mapema tu kuwa Lissu ATANYONGWA tu?
 
I agree to disagree lakini hili la kuifunganisha CDM na upande fulani wa dini/dhehebu halijakaa sawa kwa ustawi na afya ya chama, na ndio hapa mnapogawa watu na kuraise sintofahamu.
we umeona structure of uongozi wa kitaifa wa chadema, kuna asie mkristo hata moja?

mastermind mkuu wa hali hiyo ni huyo jamaa wa TEC ambae aliejaribu kutaka kuiingiza chadema kanisani walei wa kikatoliki wakasema "No", huwezi kufanya hiyo kitu useless kanisa. Na ndio maana waliandamana mpaka ubalozi wa Vatican 🐒
 
Kuanzia Kesho Mikutano ifanyike NCHI Nzima, Kila Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa , Itisheni Mikutano ya Dharura NCHI nzima, mkihamasisha Wananchi Kua Tayari na WASIKUBALI KAMWE LISSU KUFUNGWA !!.

KAMA KUKINUKISHA HII SASA IWE KWELIKWELI KUKINUKISHA.

Na katika hili, niwalale TEC kua Tayari kuongoza Maandamano kupinga huuu UHUNI wanaopanga Kumfanyia Lissu.

Sambamba na Hilo , Ni kwa namna gan ,Samia anaweza kuendelea 2030 au kuweka Mtu wake MADARAKANI!!.

Niiombe Kamati Kuu ya CHADEMA, HECHE, ITISHENI MIKUTANO YA DHARURA KUANZIA KESHO.

Na muwaambir Wananchi, mmepa4a Habari za ndani ndani kua wamepanga Kumfunga LISSU, Wananchi wawe Tayari kwa lolote !!.
Treason adhabu yake ni moja. Kunyongwa . Short of that ni kuachiwa huru.
 
Back
Top Bottom